Mimi ni kijana mwenye umri miaka ishirini na nane (28) nimetokea kumpenda binti dini ya kisilaam ni takribani miaka minne hivi sasa, amekuwa akishindwa kuniweka wazi kama ananipenda ingawa ingawa ukaribu wangu mimi na yeye ndani ya miaka hiyo minne umewaaminisha watu kuwa tupo kwenye mahusiano. Kutokana na hali hiyo nikamtangazia kumuoa lakini amekuwa akinikatalia ombi langu la kuolewa na mimi kisa tofauti ya dini, kuwa mimi ni mkiristo ingawa mpaka muda huu tayari nipo nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Tatizo nikimugusia swala la kumuoa yeye anaingiza kigezo cha dini, naombeni ushauri wenu? kweli binti nampenda na yeye ananipenda ila kosa hii dini inanikosesha mke.
Mimi ni kijana mwenye umri miaka ishirini na nane (28) nimetokea kumpenda binti dini ya kisilaam ni takribani miaka minne hivi sasa....
Mwaka jana mwezi januari ulikuwa na umri wa miaka 26...
sosi: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=592360
Mwaka huu mwezi februari una umri wa miaka 28....
je tuna uhakika gani haya mengine uelezayo yana ukweli wowote?
Kuhusu kubadili nilimgusua, akasema kwa mwanaume si vizur kumfuata mwakamke, ingawa nilitaka kumjaribu tuone msimami wake
Mkuu nilifuata ushauri wako nikafanikiwaWe ingia kwa dini yake ukifanikiwa unarudi ulikotoka
Unamfuataje mwanamke sasa, nani kiongozi katika hiyi familia, ina maana kama wewe utamfuata katika hilo basi kila kitu itabidi umfuatishe hata akigongwa nje akikwambia usilalamike itabidi umfuate, na hata akikuletea watoto ambao si wako pia inabidi umfuate.......Kuhusu kubadili nilimgusua, akasema kwa mwanaume si vizur kumfuata mwakamke, ingawa nilitaka kumjaribu tuone msimami wake
Mkuu nilifuata ushauri wako nikafanikiwa
Mimi ni kijana mwenye umri miaka ishirini na nane 28, nimetokea kumpenda binti dini ya Kisilaam ni takribani miaka minne hivi sasa, amekuwa akishindwa kuniweka wazi kama ananipenda,ingawa ukaribu wangu mimi na yeye ndani ya miaka hiyo minne umewaaminisha watu kuwa tupo kwenye mahusiano.
Kutokana na hali hiyo nikamtangazia kumuoa lakini amekuwa akinikatalia ombi langu la kuolewa na mimi kisa tofauti ya dini, kuwa mimi ni mkiristo ingawa mpaka muda huu tayari nipo nae kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Tatizo nikimugusia swala la kumuoa yeye anaingiza kigezo cha dini, naombeni ushauri wenu, kweli binti nampenda na yeye ananipenda ila kosa hii dini inanikosesha mke.