Dimples na mwanya havichakachuliki

Nawapa pole sana Wanaume wasiokuwa na dimples. Na ukiona Mwanaume una dimples jua Mwenyezi Mungu alishakubariki zamani sana na una mvuto wa uhakika ambao hata ukimtongoza Mwanamke hachelewi kukukubalia. Na ndiyo maana kila Uchao namshukuru mno Maulana kwa Zawadi hii ya Kutukuka kabisa ya kuwa na dimples.
 
Usisahau pia unaweza tongozwa na midume wakijua unacheza kale ka mchezo kao


Mwanaume kuwa na mvuto, unaweza jikuta kwenye mitihani mikubwa, wakati unatongoza waweza tongozwa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha dimples na mwaya wa Me too
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…