Dili

Hahahahahahahahaaaa watu hawapo serious
 
Sasa kama unafika bei kwa nini usinunulike? Inasemekana hii tabia wameirithi toka kwa mwenyekiti yeye mwenyewe alifika bei kwa mzee wa Monduli akapigwa billioni kadhaa akakabidhi chama
 
Hhaaaa. Huyu mnunuaji mbona hajulikani?
Atuambia Lowassa alilipa kiasi gani mwaka 2015 hadi Dr. Slaaa akasusia chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…