labda ushauri wangu tu. nadhani unataka kujua kipi bora kati ya hizo njia mbili.
kusubiri kuku watage mpaka waangue au kama utawaangulisha labda yaweza kuchukua muda mrefu kidogo.
yaweza kuwa njia bora zaidi.
ila kwa ishu ya mda ni bora ununue tu moja kwa moja vifaranga.