Hatare sana mzee,, baridi hili nipate supu ya utumbo mix one shot,, na Heineken tatu,, nikalale
Shukrani sanaa ππ
Hapo kwenye chipsi samaki ,napapenda mno ila hapa kwa ugali na nyama sikawii kurudisha chenji ikiwa niko maji kaka
Sawa kaka..Hapo kwenye chipsi samaki ,napapenda mno ila hapa kwa ugali na nyama sikawii kurudisha chenji ikiwa niko maji kaka
Kesho napika. Hivi yaani
Basi bwana kipindi Niko mama kijaDah πππ
Nielekezwe nije niwe mgeni wakoo kwa keshoo ππKesho napika. Hivi yaani