Digsby ni app nzuri sana ya pc inakuruhusu kuconnect account zako za email, IM(Instant Messaging) na social networks kwa pamoja.
E-Mail: hapa utapata notification ya email muda inapoingia(lakini sio spam ni Inbox tu)
pia utaweza kuchat na watu wako instantly kama wapo online IM: hapa utaweza kuconnect na kuchat na watu wako kupitia accounts za ISQ n.k
Social networks: hapa utapata kuconnect na facebook, twitter, linkid na accounts nyingine na kupata notification instantly
Faida zake:
Unaweza kuunganisha email a/c zaidi ya moja
unaweza kuunganisha a/c zaidi ya moja kutoka kwa host mmoja mfano: unaweza kuweka a/c mbili za gmail na zote zikawa hewani kitu ambacho hakiwezekani kwenye google talk
unaweza kuset manually email a/c zako kwa kuweka IMAP na POP servers
unapata notification kwa haraka pindi email inapoingia au mtu anapopost kwenye social network
unapata access ya contact zako kwa haraka na mpangilio mzuri
Costomizable
n.k
Hasara zake:
Ads
Inabadilisha status yako mfano kama ilikuwa ni available yenyewe inaseti Available - I use digsby