Digsby "All in 1" IM, Email & Social Networks

Digsby "All in 1" IM, Email & Social Networks

Nyasiro

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,201
Reaction score
551
Digsby ni app nzuri sana ya pc inakuruhusu kuconnect account zako za email, IM(Instant Messaging) na social networks kwa pamoja.

E-Mail: hapa utapata notification ya email muda inapoingia(lakini sio spam ni Inbox tu)
pia utaweza kuchat na watu wako instantly kama wapo online
IM: hapa utaweza kuconnect na kuchat na watu wako kupitia accounts za ISQ n.k

Social networks: hapa utapata kuconnect na facebook, twitter, linkid na accounts nyingine na kupata notification instantly

Faida zake:

  • Unaweza kuunganisha email a/c zaidi ya moja
  • unaweza kuunganisha a/c zaidi ya moja kutoka kwa host mmoja mfano: unaweza kuweka a/c mbili za gmail na zote zikawa hewani kitu ambacho hakiwezekani kwenye google talk
  • unaweza kuset manually email a/c zako kwa kuweka IMAP na POP servers
  • unapata notification kwa haraka pindi email inapoingia au mtu anapopost kwenye social network
  • unapata access ya contact zako kwa haraka na mpangilio mzuri
  • Costomizable
  • n.k

Capture.JPG

Hasara zake:
  • Ads
  • Inabadilisha status yako mfano kama ilikuwa ni available yenyewe inaseti Available - I use digsby
  • Ni lazima ufungue a/c digsby ili kutumia

Download link: Digsby = IM + Email + Social Networks

Nawasilisha....
 
hii ni kwaajili ya kompyuta (MacOS, Windows & Linux)
 
Back
Top Bottom