Kwa hali hii startimes itatesa daima. 40000 imewashindwa wabongo kununua cha startimes sasa hiki ni 145,000. Startimes aliangalia majority mahitaji yao. Tings vimewadodoa na hawa vitawadodoa tu. Cha muhmu ni ubora wa chanel yilizopo na sio eti kinatumia flash. Daima tatumia dish.
Jamani kubalini kataeni hii kampuni imeleta mapinduzi hapa Tanzania. Wanauza DVD player kali sana 50000/- bei pungufu ya mchina na warrant miaka 2. Katika Player ile wameandika made in TZ sasa sijaelewa hawa jamaa wanakiwanda hapa bongo au vp? Ila kama wanakiwanda wanaweza kutupunguzia tatizo la bidhaa feki za ki-electronic kutoka china.
Nionavyo mimi so long as haihitaji subscription ya kila mwezi inafaa ili hawa Star Times na Ting waache viburi
haya mambo yatatutesa sana hasa sisi tusiokuwa na uelewa wa kutosha kuhusu haya makitu,mwisho wa siku ndo tunaishia kumiliki decoder zaidi ya moja na hao tcra ndo kwanza hawana hata muda wa angalau kuzungukia wananchi kuwapa elimu kuhusu hii teknolojia
All in all,kama unaweza kununua king'amu hiki basi bora ukanunua dstv 2.upunguze stres japokuwa local tv ni tbc pekeyake na za majirani wetu. Me cnunui king'amuzi chochote na wala sitaki kuendeshwa. Watugani tusiothaminiwa na nchi yetu wenyewe. Yaani kama tumepanga vile. Lol!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.