MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,287
- 13,705
Itv, eatv, capital tv, startv, tbc1,
channel 10, clouds tv, mlimani tv,
radio one,
east africa radio, capital radio, kiss
fm, radio free africa, clouds fm na
citizen.
Da mbona imekaa Kibongo zaidi,je channels za nje/kimataifa vipi
halafu sio bure, niliwaandikia wakanijibu hivi:
"Ni kweli dikodA yetu inapatikana kwa
160,000/= na utaangalia bure mpaka
december, i wapo kuna mabadiliko yeyote
ni kuanzia mwakani. Ila sijaelewa hiyo bei
ya malipo ya mwezi umeitoa wapi, bado
hatujapanga kiasi cha kulipia. C6 "