Digital tv

Digital tv

tv brandi gani, weka model yake, piga picha pale pa kuchomekea antenna then post hapa
Sharp led 32"
IMG_20180828_102419.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaitaji antenna ya monopole dizaini hii apa

I just got $50 Coupons!

k/koo(karib na shule ya uhuru kama unaelekea m/moja upande wa kulia) pale zinapatikana kwa bei isiozidi 15,000, hii antenna ni ya ndani(indoor) kama upo eneo lenye signal nzuri, la kama haikamati utatumia antenna za star times(dipole) zile za kawaida ila itakubidi ubadili ile connector , yaani kale kadude kanakua mbele ya wire wa antenna kanakoungana na dekoda

utatoa kile utaweka hiki apa

50 x RF COAXIAL CONNECTOR MALE IEC TV AERIAL PLUG NICKLE COAX MAIL (ARIEL ARIAL) | eBay

k/koo pale kanauzwa buku

ako kataingia kwenye iyo port ya tv yako apo juu

then upande wapili ndo itaungwa na cable ya antenna ( inayoenda nje) ( kunaitaji kaujuzi kidogo kuunga iyo connector na cable )

ukimaliza iyo set up utaenda sehem ya setting kwenye tv, moja kwa moja mpaka sehem ya ku scan channel

1. auto scan, kutegemea na model inawezakupa options ya kuchagua nchi, kama tz haipo utachagua denmark au germany , kama kuna option ya dtv, atv na dtv+atv chagua iyo ya 'dtv+atv'

najua unajua cha kufanya apa kwenye channel search ila tu pay attention channel za tv ziwe zina range from 400MHz mpaka 800MHz (kwa tv)

na za redio from 80MHz mpaka 108MHz, ikiwa nje ya iyo range, chagua nchi nyingine

1. manual scan, hapa kuna option ya kuingiza frequency , utaanza na 400MHz, utasachi, then utaama kwa step ya 50, yaani itafata 450Mhz , 500MHz , nk mpaka 800

ukikamilisha utapata itv, eatv, nk, na zingine za nje kama arirang ya korea, nhk ya japan,

kumbuka kuleta mrejesho
 
Hivi naweza nikatumia waya mmoja kuuunga parallel kwa ajili ya dish ya azam na hiyo antena kule kwa nje?

iyo tv ina tuner kwa ndani, bila shaka ni dvb-t, haitafanya kazi kwa dish kama ndio lengo lako, iyo tuner inahendo frequency ndogo below 1000MHz ,
 
Namaanisha badala ya kutumia waya mbili nitumie waya mmoja ila kule juu niunge waya parallel yaan antena na dish ziikutane kwa nje kama Y

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaitaji antenna ya monopole dizaini hii apa

I just got $50 Coupons!

k/koo(karib na shule ya uhuru kama unaelekea m/moja upande wa kulia) pale zinapatikana kwa bei isiozidi 15,000, hii antenna ni ya ndani(indoor) kama upo eneo lenye signal nzuri, la kama haikamati utatumia antenna za star times(dipole) zile za kawaida ila itakubidi ubadili ile connector , yaani kale kadude kanakua mbele ya wire wa antenna kanakoungana na dekoda

utatoa kile utaweka hiki apa

50 x RF COAXIAL CONNECTOR MALE IEC TV AERIAL PLUG NICKLE COAX MAIL (ARIEL ARIAL) | eBay

k/koo pale kanauzwa buku

ako kataingia kwenye iyo port ya tv yako apo juu

then upande wapili ndo itaungwa na cable ya antenna ( inayoenda nje) ( kunaitaji kaujuzi kidogo kuunga iyo connector na cable )

ukimaliza iyo set up utaenda sehem ya setting kwenye tv, moja kwa moja mpaka sehem ya ku scan channel

1. auto scan, kutegemea na model inawezakupa options ya kuchagua nchi, kama tz haipo utachagua denmark au germany , kama kuna option ya dtv, atv na dtv+atv chagua iyo ya 'dtv+atv'

najua unajua cha kufanya apa kwenye channel search ila tu pay attention channel za tv ziwe zina range from 400MHz mpaka 800MHz (kwa tv)

na za redio from 80MHz mpaka 108MHz, ikiwa nje ya iyo range, chagua nchi nyingine

1. manual scan, hapa kuna option ya kuingiza frequency , utaanza na 400MHz, utasachi, then utaama kwa step ya 50, yaani itafata 450Mhz , 500MHz , nk mpaka 800

ukikamilisha utapata itv, eatv, nk, na zingine za nje kama arirang ya korea, nhk ya japan,

kumbuka kuleta mrejesho
Niaje boss. Je una fundi anaeweza kunifanyia huo mchakato?
 
Vipi zile za Startimes TV zenye king'amuzi ndani inawezekana kufanya huu udambidambwi?
 
Back
Top Bottom