Jaribu kuchukua sample,uone ubora wake umekaaje na soko lake pia,kama ziko poa utauza sana
ila kama ni zile za kichina itakula kwako!!Fanya research pale kariakoo,
Ukileta ni PM nije nizione,naweza kukuunganisha na jamaa yangu yuko mkoa huwa anachukua sana t.v k/koo!!