Digital transmission forge - msaada wa kuchakachua

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
3,216
Reaction score
994
Nilinunua king'amuzi (decoder) ya Zuku lakini local channel chache mno sijapenda. Nimenunua receiver nikiunga napata channel za Kenya kwenye dish lao. Naomba mtaalam anieleweshe kama naweza kununua decoder tu kama ya Dstv/Startimes/Ting/Continental? halafu nitumie dish lao..namaanisha sitaki fundi, wire wala dish jipya. Lakini pia supplier kama yuko tayari kuniuzia decoder pekee nitainunua kama ujanja huu unawezekana. FTA channel gani naweza pata ktk dish hili dogo(ku band) hapo nitamlipa fundi anitafutie kwa kutumia Star receiver
 
Ninalo dish la ft 6 pia natumia lakini hapa nataka modification kwaajili ya dish dogo(ku pekee)
 
Tafuta fundi akutafutie setelati ya ses 5 @ 4.8E utapata fta zaidi ya 20 ila nyingi za kifaransa ikiwemo dw (ujerumani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…