Digital products market place

Digital products market place

keen salva

Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
73
Reaction score
21
Habari wakuu, na wataalamu wa Technologia wa JamiiForums

Napenda kuchukua nafasi kuwataarifu wale watembeleaji na wanachama wa Mjasiriamali Desk kua tumeongeza features mpya ya utumiaji wa mtandao wa Mjasiriamali desk ambayo ni Resources place,
resources.PNG

Huduma hii itakuwezesha kupakia & Kupakua (Upload & Download) aina mbali mbali za bidhaa za kidigitali (digital products) mfano: zip files, txt, pdf, png, jpg, jpeg, jpe, gif ,psd, tif, apk n.k

Vile vile huduma hii itakuwezesha kupata review na rates kuhusu bidhaa au huduma yako, pia kuweza kutoa support kwa watumiaji wa hudua na bidhaa yako.

Huduma hii kwa sasa ni free kwa wanchama wote kuweka na kupakua bidhaa hizi za kidigital bila malipo, ikiwa mpango wetu ni kuwafanya wajasiriamali wa sekta hii na watembeleaji wa mtandao huu kunufaika tunaandaa njia bora na sahihi kwa malipo kuwawezesha wajasiriamali kuuza na kununua baadhi ya digital products hapa.

Features:
  • Submit any kind of digital product (downloadable materials)
    e.g; zip, txt, pdf, png, jpg, jpeg, jpe, gif ,psd, tif, apk
  • Get review & rate on resource
  • Provide support through resources discussion area
  • Update resource
  • and much more.
  • advertising Domain & Website through resources area
Natumaini huduma hii itakua msaada mkubwa kwa wajsiriamali walio jiajiri kutoa huduma na kuzalisha bidhaa za kidigital ambazo ni downloadable material

Karibuni sana Mjasiriamali Desk
 
Back
Top Bottom