Digital Products Dealers

Digital Products Dealers

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
159
Reaction score
202
Usiteseke kwenda madukani.wewe ni Mfalme kwetu tutakuketea bidhaa Yako mpaka mlangoni kwako.
[emoji2788] Delivery kwa Dar-es-salaam na mikoani
[emoji2788] Hata products ya bei ya chini tunakuletea
[emoji2788] Bidhaa zetu Zina warrant
[emoji2788] Kwa products ambazo huwezi kutumia tutakufundisha buree
[emoji2788]Punguzo kubwa kama la kiwandani
[emoji2788]Quality Guaranteed
[emoji2788] Products zetu ni Og kabisa.

Unasubiri nini sasa okoa fedha na muda wako kwa kununua bidhaa zetu.

Mikoani Tunatuma utapokea kwa Mabasi.
Weka oder Yako kwa kupiga simu au tucheki whatsapp
+225658412883.
0658412883.
 
Tupo Katika offer ya Mwalimu Nyerere. Punguzo lipo la products zetu.
Tuna lens hii inafaa kwa kupigia picha na Kurekodia video Katika umbali wa Hadi 12×.
Popote pale ulipo tunakuletea lens hii Hadi mlangoni tutakufundisha kutumia ndipo utalipa pesa
924164858.jpeg
 
Jaribu kuliandaa na kupangilia tangazo lako vema kabla ya kuliweka public.

Katika biashara kuna vipengele vidogo sana vinavyoweza kuleta ukakasi kwa mteja na kushindwa kufanya maamuzi ya kukuamini na kununua bidhaa yako.

1. Weka kichwa cha Habari ya kueleweka.

2. Maelezo yaeleze ni bidhaa gani unazouza na za aina gani pamoja na bei zake.

3. Picha pangilia kwa mtiririko mzuri kuendana na maelezo.
 
Digital mobile phone stand.
Epuka kuvunja simu au kuharibu video unayorecord
Hizi hutumika kwa
*Live streaming
*Zoom meeting
*Watching Movies
Ni salama na Bora unaweza kuziweka Mezani au Kitandani. Bei yake bi 20,000/= ambayo utailipa baada ya kupokea mzigo.
Tunafanya huduma ya derivary kwa wateja wetu.
#loveTanzania
827348694.jpeg
721116938.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom