andy mchokozi
Member
- Jan 25, 2012
- 42
- 5
Weka picha.
GE ndio aina gani hyo?
unahitaji digital camera..
Megapixel 10.1
zoom 3*
memory card 1gb
aina. Ge
bei yake laki 50 kwasababu
betri utanunua mwenyewe..
Ukichelewa leo hupati tena..
0713133633
Mkuu pitia ulichokiandika maanake hueleweki laki 50.Duu sijui ni shilingi ngapi za kitanzania
jamani tubadilike hvi kweli unashindwa kujua laki 50,
haya ni,
150,000
umelizika mkuu
itafute kwnye google utaiuta hapo
Mkuu pitia ulichokiandika maanake hueleweki laki 50.Duu sijui ni shilingi ngapi za kitanzania
jamani tubadilike hvi kweli unashindwa kujua laki 50,
haya ni,
150,000
umelizika mkuu
Usiwe mkali kaka, brand yenyewe unayouza wako nyuma sana katika masuala ya camera! na lugha unayotumia ni lugha ya vijana wakati kuna wazee humu, sasa unapokuwa challenged unakuwa mkali inakuwa haina maana! Anyways karibu JF!
itafute kwnye google utaiuta hapo
Ndugu yawezekana unaiuza hiyo Camera kwasababu Bettry zake hazipatikani,na kama zinapatikana nijulisheunahitaji digital camera..
megapixel 10.1
zoom 3*
memory card 1gb
aina. GE
Bei yake laki 50 kwasababu
betri utanunua mwenyewe..
ukichelewa leo hupati tena..
0713133633