Digital Channels kwenye Digital TV build in

hochere

Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
12
Reaction score
2
Habar wakuu, naomba kuuliza ntawezaje kupata Channel kwenye TV yenye Digital build in ; mwenye uelewa please tusaidiane
 
Ni simple mkuu, cha kufanya ni kuwa na antena yako na kuiunganisha kwenye Tv moja kwa moja na kwenda kusearch kupitia menu na utazipata channel nyingi za Tv na redio ndani na nnje ya inchi.
 
Nilijaribu kuunganisha Antena ila imenigomea! Xa sijui kama kuna namna nyingine
 
Mimi yangu nimeunganisha kawaida kwa antena, unechagua nchi kama mimi kwenye orodha kwa Afrika ni SA pekee, na nikaenda kusearch moja kwa moja nikazipata zikiwa HD kabisa. Au aina ya Tv yako pia mimi ni Tcl
 
TV yangu sio Smart ni LED ila inayo Digital build in, xa nineshindwa kupata channel hzo
 
Mimi yangu nimeunganisha kawaida kwa antena, unechagua nchi kama mimi kwenye orodha kwa Afrika ni SA pekee, na nikaenda kusearch moja kwa moja nikazipata zikiwa HD kabisa. Au aina ya Tv yako pia mimi ni Tcl
Ngoja nutajaribu maana nilifanikiwa kupata chaneli nyingi lakini hazioneshi. Moja tu ya startimes ya matangazo ndo ilionesha
 
Mimi yangu nimeunganisha kawaida kwa antena, unechagua nchi kama mimi kwenye orodha kwa Afrika ni SA pekee, na nikaenda kusearch moja kwa moja nikazipata zikiwa HD kabisa. Au aina ya Tv yako pia mimi ni Tcl
Antenna lazima iwe nje?
 
je vp kwa settelite dish kwakutumia king'amuzi built inidecoder, unafanyeje? nahitaji kununua smart TV msaada tafadhali y molel ,Chief mkwawa nawengneo
 
Write your reply...maana yangu naweza pata local channels za ndani?
 
Antenna lazima iwe nje?
apa inategemea na TV, nishawai kua na Haier tv , nilikua natumia antena ya ndani (monopole) na zilikamata channel za kutosha, nhk na arirang zikiwemo

nikaja na Bush tv, hapa ile antena ya ndani haikuvuta hata kidogo , nikaweka ya nje (dipole) kama za star times, apa ndio zikavuta
 
je vp kwa settelite dish kwakutumia king'amuzi built inidecoder, unafanyeje?
izi built in dikoda ziko za aina tofauti, manual ya tv yako lazima iandike kama ni ya dvb-t au dvb-s au dvb-c , nyingi hua ni za dvb-t1 au dvb-t2, terrestrial , apa nna maana utatumia antena ile ya ndani (monopole) kama hii Magnetic Mount Antenna-Hundu Electronic Co.,Ltd (Romtronic International Co., Limited) ( performance inategemea na brand ya tv ie; samsung, singsung,bush...) AU antenna ya nje ( dipole) zile za kawaida za star times

Kutumia dish, lazima dikoda yako iwe ni ya dvb-s , s1 au s2
 
ahsante sanaaaa! kwahyo hizo tv built in ambazo zinasupport settelite dish nikampuni gani? LG au Samsung?
 
Back
Top Bottom