Kwa begginer tafuta canon 700D inauzwa kuanzia 900,000 -1,600,000 ,750D hii sijui bei yake ,800D sijui bei yake, lens kua nayo ambayo ni kit lens 18-55mm hii inakuja na kamera ,50mm inauzwa 250,000, na ya24 - 105mm hii ya mwisho ni ghali sana bei ni around $400-600 kwa used mpya inapanda zaidi