Digital camera aina ya sony 10.0 mega pixels.

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,722
Nina digital camera yangu aina tajwa hapo juu.Juzi nilitumia nikapiga kama picha 40 hivi baada ya hapo sijui ni wapi niliigusa mpaka nikashindwa kuona picha zote nilizokuwa nimezipiga na ikawa nikipiga picha 5 tu inanipa msg ya MEMORY FULL
wakati memory card ni ya 1GB.
Nimejaribu kuitoa na kuirudisha memory card bila mafanikio.

Je nini itaweza kuwa shida na kutakuwa na uwezekano wa kuzipata zile picha nilizokuwa nimezipiga.
 
Jaribu kuweka memory card kubwa zaidi ya hiyo 1GB kisha uone itakuwaje? Pia inawezekana hiyo memory kadi isiwe original kwa sababu Sony camera nyingi haziji na Memory card yake.
 
Jaribu kuweka memory card kubwa zaidi ya hiyo 1GB kisha uone itakuwaje? Pia inawezekana hiyo memory kadi isiwe original kwa sababu Sony camera nyingi haziji na Memory card yake.
Nimejaribu kutoa memory card nikaiweka kwenye laptop ikionyesha ila nikiirudisha kwenye camera siwezi ona hizo picha.
Nni inaweza kuwa tatizo kwenye hyo camera au ni kuna settings naweza fanya irudi normal ama?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom