D Da Sophy JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 388 Reaction score 162 Mar 18, 2013 Thread starter #521 KakaJambazi said: Pamoja na hayo, we utabaki kuwa ndala tu, mwisho mlangoni. Click to expand... Kumbe nawe unamtaka baba J wangu. Imekulaje kwako. Hashobokei mashoga.
KakaJambazi said: Pamoja na hayo, we utabaki kuwa ndala tu, mwisho mlangoni. Click to expand... Kumbe nawe unamtaka baba J wangu. Imekulaje kwako. Hashobokei mashoga.
tricecriss JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 225 Reaction score 59 Mar 18, 2013 #522 Mi ya kwangu inatunza mume kwa maana ni ya hotel management
D Da Sophy JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 388 Reaction score 162 Mar 19, 2013 Thread starter #523 tricecriss said: Mi ya kwangu inatunza mume kwa maana ni ya hotel management Click to expand... Unachekesha! Hizo kazi za hoteli mbona wanaume ndo wanaozifanya. Zinahusika vipi kwenye unyumba. Umeambiwa kinachotakiwa na mwanamme ni uelewa sio digirii. Kalaghabaho.
tricecriss said: Mi ya kwangu inatunza mume kwa maana ni ya hotel management Click to expand... Unachekesha! Hizo kazi za hoteli mbona wanaume ndo wanaozifanya. Zinahusika vipi kwenye unyumba. Umeambiwa kinachotakiwa na mwanamme ni uelewa sio digirii. Kalaghabaho.