DIGA DIGA Vs BOSCO COOL J NDANI YA ISUMBA LOUNGE LEO!!!

DIGA DIGA Vs BOSCO COOL J NDANI YA ISUMBA LOUNGE LEO!!!

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,994
Reaction score
34,873
Kwa wale wa zamani kidogo wanafahamu hawa ni moja wa madansa wenye heshima kubwa.
Leo ndani ya Isumba lounge zamani Jolly Club patakuwa na mpambano kati ya wakongwe hawa wa disko.
Kamakawa kwenye machine DJ JD, DJ FAST EDDY na DJ YOUNG KELVIN watahakikisha hukai hata sekunde.

Kwa hisani ya MTAZAMO karibuni sana.
 
Last edited by a moderator:
Hawa ni wapinzani longtime ngoja tuone labda ubishi utaisha leo.

RIP mkali wao Black Moses
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom