Different Colours/One People

duuh yaani inatoa umakini darasani
 
Wanamshangaa utadhani mbuga za wanyama!
 
Nadhani vinajisemea dili limejileta lenyewe(mauaji ya albino)shame on you masisiem.
 
hahahahahaha kwi kwi kwi hili nalo toleo jipya.
 
Nimecheka yaani hakuna. Imenirudisha mbali sana hiyo Picha. Nimeshawahi kuwa kituko kijijini miaka ya 90, hahahaa.

Kimji chote watu walikimbilia kuja kuniona. Kali ilikuwa ni mama aliyesikika akisema "Shika mtoto na mie nataka niangalie."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…