DIFFERENCE Between A GIRL AND A WOMAN

Hapana. Mimi nna wasiwasi ni BOY. Nimejichungulia lakini mmh bado nna wasi.

Nitakusemea kwa mama kuwa unajichungulia, na pia ulimuonesha Paw chipi mpya uliyonunuliwa juzi!
 
Last edited by a moderator:
wanaokulia na kukesha kwenye ma night clubs ni girl's
 
Heeh! Mbona kwa Paw sikuenda na pichu? Niliiacha nyumbani ili nisije nikaisahau. Afu nimejichungulia tu sijajishika, lione! Umbea tu kama mwigulu mwigulu.
Nitakusemea kwa mama kuwa unajichungulia, na pia ulimuonesha Paw chipi mpya uliyonunuliwa juzi!
 
Last edited by a moderator:
kumbe kweli alikuwa bado
daah, hapo ndo patamu Asprin unaona mambo yako hayo

Mkewe alimtahiri afu akawa anaogopa kuvaa msuli manake nyinyiemu wangedhani ni binadamu yake sheikh ponda.
 
Last edited by a moderator:
Hapo umeguna au umegugumia?

Mndenyi, si unajua msimu wa maparachichi huu?

mgugumio utakuwa huo!ehehhehheheh huo ni mgugumio wa wanawake labda!
magals saaasa...........................................!!!muulize ...................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…