Dieu est bon (MUNGU YUPO)

Du! sasa hapo wasikurupuke abiria kutaka kuwahi kutoka!... kama bado wamo nawashauri watulie... wajitahidi kuzuia haja ndogo... wasubiri msaada na maelekezo ya walio nje....
 
nasahihisha adjectif/adjective/kivumishi BON kstika neni DIEUE EST BON tamka DYE-E BO (Dieue/God/Mungu, est/is'nyumbua kitenzi shirikishi NI) Bon/good/mzuri-mwema'. pia kifaransa kina sifa ya kunyumbua nomino/wakilishi kufuatana na jinsi Gender. hivyo BON>bonne, bons,bonnes.
 
Nashukuru mkuu wangu. Najifunza

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Tungesema pia kuwa Mungu yupo kwani angewadaka mkononi mwake wangekuwa salama.Kila jambo hudhihirisha uwepo wake

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Kwa nini baada ya bus kunasa umesema Mungu yupo?

Watu wanasema Mungu ni Roho, ina maana hana mwili.....Sasa mikono ya kuwadaka angetoa wapi?

''Kila jambo hudhihirisha uwepo wa Mungu'',....hata maovu? mbona hayazuii?

Umejuaje kuwa Mungu yupo?
 
Du! sasa hapo wasikurupuke abiria kutaka kuwahi kutoka!... kama bado wamo nawashauri watulie... wajitahidi kuzuia haja ndogo... wasubiri msaada na maelekezo ya walio nje....
Haha ha haahaaaa
Mkuu wameshatoka kitambo sana tu, walipona
 
Du! sasa hapo wasikurupuke abiria kutaka kuwahi kutoka!... kama bado wamo nawashauri watulie... wajitahidi kuzuia haja ndogo... wasubiri msaada na maelekezo ya walio nje....
Huo muda wa kujishauri wanaupataje? Usikute watu waliruka kabla hata ya gari kufika hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…