Diego Jota kaondolewa kwenye Game

Diego Jota kaondolewa kwenye Game

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250724_011423_0000.png

Kama wewe mpenzi wa Games basi tambua EA sports imemuondoa Diogo Jota kwenye Games 🎯.

Aliyekua mchezaji wa Liverpool ambaye alifariki Kwa ajali ya Gari mwezi mmoja uliyopita nchini Spain Diego Jota na Ndugu yake Andrea Silva wameondolewa kwenye Games.

2_20250724_011423_0001.png

Diogo Jota ameondolewa kwenye game ya FC 2025 😞. Hivyo hautaweza kumsajili tena Diogo Jota kwenye league ya Career Modes.

Pia kwenye mechi za kawaida hutaweza kumchagua Diogo Jota kwenye kikosi chako kuweza kumchezesha uwanjani.

Goodbye 👋 Diogo Jota ✍️.
 
Attachments

  • 3_20250724_011424_0002.png
    3_20250724_011424_0002.png
    1.1 MB · Views: 13
We are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.

Nahitaji msaada wa kufungua kesi.
Duuuu,una nini dada,kwanini uingie huko
 
Aliyekua mchezaji wa Liverpool ambaye alifariki kwa ajali ya Gari mwezi mmoja uliyopita nchini Spain Diego Jota na Ndugu yake Andrea Silva wameondolewa kwenye Games.
Jota alifariki tarehe 3.7.2025 ikimaanisaha kua alifariki mwezi huu,

Sasa wewe unaposema alifariki mwezi mmoja uliyopita,tukueleweje?
 
We are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.

Nahitaji msaada wa kufungua kesi.
🤣🤣🤣 kalee wajukuu
 
Sasa wewe ulitaka aendelee kuwepo kwenye Game? Si itakata stimu na kuona siyo uhalisia?
 
We are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.

Nahitaji msaada wa kufungua kesi.
Hio Lamborghini haijamuua Jota tu, hata yule "Paul Walker" icon wa Fast and Furious naye alifia kwenye car crash ya Lamborghini.
 
We are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.

Nahitaji msaada wa kufungua kesi.
Acha bangi Ww dada na kujitia umuhimu kwenye maisha ya watu wasiokujua, hapa Tz Kuna ajali ngapi mbona hujawahi kufungua kesi afu leo hii useme huu upuuzi wako kwa watu wa Ulaya.
 
Back
Top Bottom