Diego Jota kaondolewa kwenye Game

Diego Jota kaondolewa kwenye Game

View attachment 3416428

Kama wewe mpenzi wa Games basi tambua EA sports imemuondoa Diogo Jota kwenye Games 🎯.

Aliyekua mchezaji wa Liverpool ambaye alifariki Kwa ajali ya Gari mwezi mmoja uliyopita nchini Spain Diego Jota na Ndugu yake Andrea Silva wameondolewa kwenye Games.

View attachment 3416429

Diogo Jota ameondolewa kwenye game ya FC 2025 😞. Hivyo hautaweza kumsajili tena Diogo Jota kwenye league ya Career Modes.



Pia kwenye mechi za kawaida hutaweza kumchagua Diogo Jota kwenye kikosi chako kuweza kumchezesha uwanjani.

Goodbye 👋 Diogo Jota ✍️.
Kwahy Ww ulitakaje?
 
We are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.

Nahitaji msaada wa kufungua kesi.
Hizi supercar kwa kweli waziangalie kwa jicho la tatu
 
We are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.

Nahitaji msaada wa kufungua kesi.
Pole kwa kupoteza mdogo wako,Ila mngekaa kama familia kupata njia sahihi.
 
Acha bangi Ww dada na kujitia umuhimu kwenye maisha ya watu wasiokujua, hapa Tz Kuna ajali ngapi mbona hujawahi kufungua kesi afu leo hii useme huu upuuzi wako kwa watu wa Ulaya.
Umeandika kwa hisia sana mkuu..
 
Nmeandika kawaida sana tuu, mtu anaacha Wabongo wenzake Afu anajifanya kuwazingatia watu ambao hawajui kama yeye yupo duniani, ndo yale yale unapost RIP Jota utadhani familia yake inakujua wakati hujawahi kuwapost Wabongo wenzako
Na hawa wanaosherehekea Birthday ya kijana wa Kigori Mariam nao tunawaweka kundi gani?😂😂
 
Back
Top Bottom