AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
kwa nn usikilize vipindi kama hivyo,Katika watangazi wa vipindi vya Kijamii vya mchana vya aina anayo endesha huyu biMAMA. huyu dada ni mpiga kelele kama alivyo MC PILIPILI kwenye Comedy.
Katika list yangu ya ubora wa hawa watangazaji. Mimi ninaanza na:
1. GEAH HABIIB
Huyu mama ametulizana. Hatumii nguvu kama wengine. Na wala si mchambaji chambaji kama Dida, anaongea kwa utaratibu, anaeleweka na unaenjoy show kama kawaida. Hapa Clouds walilamba Dume.
2. Dina Marios
Huyu dada ni msomi na ametulia vilevile. Anaendesha kipindi chake Kiproffessional.
3. Da Huu
Huyu nae ana ucheshi wake japo ni mzaramo ila unaenjoy show na sio kelele..
4. Mariam wa Migomba
5. Farhia Middle na wenzake wa redio 1.
Kwa wanaume kuna huyu mpiga kelele anayetumia nguvu kama Makirikiri. MAULID KITENGE.
Kwa vipindi vya michezo. Clouds wana huyu jamaa ALEX LUAMBANO. Ni mchochea mada na mzuri kwenye mahojiano.
Wengi mtakubaliana nami.
Kabisa. ..Geah habibi yuko so real..kitu kama hakijui anakwambia kabisa sijui hana makuu tashtt zake zina mashiko
Hao uliowataja wanamesomea taaluma ya habari?,Dida yule amesoma DSJ sio janja janja na Mwakyembe kasema mwisho janja janja mwisho december 2021,2020 waandishi na watangazaji wote wanatakiwa wawe certified.Katika watangazi wa vipindi vya Kijamii vya mchana vya aina anayo endesha huyu biMAMA. huyu dada ni mpiga kelele kama alivyo MC PILIPILI kwenye Comedy.
Katika list yangu ya ubora wa hawa watangazaji. Mimi ninaanza na:
1. GEAH HABIIB
Huyu mama ametulizana. Hatumii nguvu kama wengine. Na wala si mchambaji chambaji kama Dida, anaongea kwa utaratibu, anaeleweka na unaenjoy show kama kawaida. Hapa Clouds walilamba Dume.
2. Dina Marios
Huyu dada ni msomi na ametulia vilevile. Anaendesha kipindi chake Kiproffessional.
3. Da Huu
Huyu nae ana ucheshi wake japo ni mzaramo ila unaenjoy show na sio kelele..
4. Mariam wa Migomba
5. Farhia Middle na wenzake wa redio 1.
Kwa wanaume kuna huyu mpiga kelele anayetumia nguvu kama Makirikiri. MAULID KITENGE.
Kwa vipindi vya michezo. Clouds wana huyu jamaa ALEX LUAMBANO. Ni mchochea mada na mzuri kwenye mahojiano.
Wengi mtakubaliana nami.
Ila ni boraHao uliowataja wanamesomea taaluma ya habari?,Dida yule amesoma DSJ sio janja janja na Mwakyembe kasema mwisho janja janja mwisho december 2021,2020 waandishi na watangazaji wote wanatakiwa wawe certified.
Aisee! Mchana ukiudhika na makelele unaenda kijiweni kwenye bodaboda.. Una mishe gani mkuu?Bora nikae jirani na kiwanda cha kutengeneza jet engine au kupasua mawe kuliko nimskilize Mwanamke mwenye makelele.
Huwa nakeleka sana huwa najiskia vby.
Basi nyumba moja nilipangaga kuna mdada alikuwa anapenda kumsikiliza huyo mwanamke..saa za mchana.
Aisee nilikuwa najiondokea mwenyewe naenda hata kijiwen tena kilicho karibu na barabara ili nisikilize ma bodaboda yanayopita na kelele za singeli ili ni re-fresh makelele ya huyo mwanamke tajwa hapo juu.
Aisee! Mchana ukiudhika na makelele unaenda kijiweni kwenye bodaboda.. Una mishe gani mkuu?
Swali lako lipo nje ya mada.
Karibu.