Kombe mambo yake yote yako slow ndo mana ht umri wake unaenda taratibu,mfano we ukiwa umemaliza miaka 5 ye ndo kamaliza 1,,sio km inzi ambaye yuko fasta fasta ndo mana maisha yake ni siku 7 tu.