Did you know?

nisaidieni jibu la swali langu jamani ili mmea uwe mti unatakiwa kuwa.na sifa zipi? maana nimeona kama huo mti wanaodai ni mdogo kuliko yote kama ni jamii ya maua vile?!
kuna maua na vimmea fulani hivi ambavyo ni vidogo zaod.ya huo na hutoa.mua na mbegu kwa kimo hichohocho..labda nashindwa kujua mmea ukiitwa mti unakua na sifa zipi?
 

Kuna mtaalamu mmoja wa mimea hapa jf, anatumia ID gani vile? Mara ya mwisho nakumbuka tulikua tunaongelea mambo ya mimea, angetusaidia hapa
 
Kuna mtaalamu mmoja wa mimea hapa jf, anatumia ID gani vile? Mara ya mwisho nakumbuka tulikua tunaongelea mambo ya mimea, angetusaidia hapa

Jamani Utafiti:;fanya mpango umkumbuke basi maana nina shauku ya kulijua hili
 

Kuna herb (annual na perennial), climber, shrub, tree. Shrub ni vichaka kama upatavyo maeneo ya Singida, tree lazima iwe na urefu wa kutosha.

Sasa wanachofanya hapo ni kuuforce mti kuzuia growth kwa kuucomfine kwenye kichombo kidogo chenye udongo na limited nutrients na kukata matawi na mizizi pia. Ndio maana wameweka jina Bonsai kabla ya tree.
 
Nimekuja mkuu utafiti ingawa nimechelewa sema umesahau mimi porini ni mwendo wa miamba tu.

Karibu mkuu. Unaweza kumsaidia huyo dada hapo juu, anauliza kuhusu mimea, kwavile wewe ni mtu waporini hutakosa mawili matatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…