Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
tehe teh teh teh HONGERA yakeMwenzenu alijaribu kuzuia chafya juzi kati akapasuka throat, shauri yako we endelea kuwadanganya wenzio tu
A Man Ruptured His Throat Trying to Hold Back a Big Sneeze
Ndio maana Chafya haipo hapo kaka!Mwenzenu alijaribu kuzuia chafya juzi kati akapasuka throat, shauri yako we endelea kuwadanganya wenzio tu
A Man Ruptured His Throat Trying to Hold Back a Big Sneeze
πππππ Wait.....!π΅Ndio maana Chafya haipo hapo kaka!
Kuna mambo mengine yapo kwa makusudi, Mungu aliyaleta.. mfano hiyo mechanism ya kusneeze ni kuondoa vitu visivyo rafiki kwenye system ya koo biologically πtehe teh teh teh HONGERA yake
Thanks for education
Sawa kaka ... nili overlook!πππππ Wait.....!π΅
Kakaa au mimi ndio sielewi maana ya sneeze
ππππππ