N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,318 Reaction score 12,824 Aug 18, 2017 #1 Ubongo wako 80% ni maji [emoji12] my take Nadhani huku kwetu Afrika itakuwa 90% Sent using Jamii Forums mobile app
Ubongo wako 80% ni maji [emoji12] my take Nadhani huku kwetu Afrika itakuwa 90% Sent using Jamii Forums mobile app
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Aug 18, 2017 #2 Hayo maji ni ya chumvi au ya kawaida?Je ni baridi au moto.. .
Hechinodemata JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 1,487 Reaction score 3,371 Aug 18, 2017 #3 Kwa mambo tunayoyafanya hapa Tanzania inawezekana wengine ni maji 100%, yani tunamiliki mabuyu ya maji
Kwa mambo tunayoyafanya hapa Tanzania inawezekana wengine ni maji 100%, yani tunamiliki mabuyu ya maji