Did you know this about Israel state?

Did you know this about Israel state?

Haileti picha akilini katika ardhi ambayo imezungukwa na Waarabu,Waajemi,Wakurd,Wasirya kunazuka kundi la wazungu/watu weupe walioletwa toka Ulaya na kujiita Wayahudi. Nahisi kuna race/ethnic group ingine yenye right ya kujiita Wayahudi zaidi ya hawa Ashkenazi. Wazungu wame-rob identity ya Wayahudi

images.jpeg
 
Haileti picha akilini katika ardhi ambayo imezungukwa na Waarabu,Waajemi,Wakurd,Wasirya kunazuka kundi la wazungu/watu weupe walioletwa toka Ulaya na kujiita Wayahudi. Nahisi kuna race/ethnic group ingine yenye right ya kujiita Wayahudi zaidi ya hawa Ashkenazi. Wazungu wame-rob identity ya Wayahudi

View attachment 2938240
una hoja usikilizwe. Na hicho ndicho walichokifanya huku africa.
 
Ukipiga hatua nyuma utajikuta kila mtu hapa duniani alipo wazazi wake hawakuwepo...au ukoo wake wa asili haukuwepo.Huyo Ibrahimu alipewa ardhi ya watu nayo haikuwa yake.Ibrahimu alikuwa babu wa wote hao..: Yakobo - baba wa wayahudi - Esau & Ishmael..mama yake aliyekuwa mmisri..Wote hao vizazi vyao viko humohumo tu....
Origin ya neno Palestina ni Peleshet...Nenda kitabu cha Kutoka, Joel na kitabu cha nabii Isaya).Wote hao origin yao ni moja tu..ni kitu kilele..
Mchanganyiko na mwingiliano wa mataifa mengi kwa karne na karne yatakuwa yamesababisha hata changes ya genes n.k.Tafiti zinaonesha kuwa kuna utofauti ambao ni ngumu kutofautisha kwenye Y chromosomes za Wayahudi na Waarabu....Hujawahi sikia tetezi kuwa kuna wafalme hapo wa nchi za Kiarabu ni wayahudi kwa asili...ndo maana hata msimamo wa waarabu hauekeweki...wanauma huku wanapuliza...

Wayahudi nao wameleta damu ya wazungu wengi sana hasa kutoka Eastern Europe kule....wamechanganya sana damu...Stalin ndo maana aliwatengenezea mpaka eneo lao ambalo wataweza kuwa huru kufanya mambo yao..Jewish Autonomous Republic....

Point ni kwamba ugomvi wa hao jamaa ni kama ugomvi wa ndugu tu...
Nadharia yako ya kurudi nyuma wala haina mashiko yoyote maana ulimwenguni kote kwa maelfu ya miaka watu wamekuwa wakimove na kusettle sehemu tofauti...
Shida kwa hao wote ni UBINAFSI na KUJIONA bora kuliko mwenzake..na hawataelewana mpaka mmoja ammalize mwenzake kitu ni kigumu kwa ulimwengu wa sasa uliostaarabika
Kingine Wayahudi fake na Wayahudi nusunusu ambao ndo wanawaona hao Palestina kama watu tofauti kabisa na wao..na ndo ukweli..Wao wamechanganya damu sana....wamezaa na wazungu huko vizazi na vizazi .
 
Ni rais wa kwanza wa mamlaka ya ndani ya palestina sio wa nchi ya palestina. Mpaka anakufa alikuwa anapigania palestina huru inayotambuliwa nae akashindwa
Alikuwa kiboko ya waarabu
Akitaka hela na msaada alikuwa haombi bali anawatisha tu wanatoa
Alipambana haswa, enzi hizo alisema hataoa mpaka Palestine ikombolewe ila ndio hivyo tena alipozeeka akaona ni kazi kubwa sana kwa yeye peke yake akaamua kuoa siku zake za mwisho mwisho
 
1. Before Israel, there was a British mandate, not a Palestinian state.

2. Before the British Mandate, there was the Ottoman Empire, not a Palestinian state.

3. Before the Ottoman Empire, there was the Islamic state of the Mamluks of Egypt, not a Palestinian state.
4. Before the Islamic state of the Mamluks of Egypt, there was the Ayubid Arab-Kurdish Empire, not a Palestinian state.
5. Before the Ayubid Empire, there was the Frankish and Christian Kingdom of Jerusalem, not a Palestinian state.
6. Before the Kingdom of Jerusalem, there was the Umayyad and Fatimid empires, not a Palestinian state.
7. Before the Umayyad and Fatimid empires, there was the Byzantine empire, not a Palestinian state.

8. Before the Byzantine Empire, there were the Sassanids, not a Palestinian state.

9. Before the Sassanid Empire, there was the Byzantine Empire, not a Palestinian state.

10. Before the Byzantine Empire, there was the Roman Empire, not a Palestinian state.

11. Before the Roman Empire, there was the Hasmonean state, not a Palestinian state.

12. Before the Hasmonean state, there was the Seleucid, not a Palestinian state.
13. Before the Seleucid empire, there was the empire of Alexander the Great, not a Palestinian state.
14. Before the empire of Alexander the Great, there was the Persian empire, not a Palestinian state.
15. Before the Persian Empire, there was the Babylonian Empire, not a Palestinian state.
16. Before the Babylonian Empire, there were the Kingdoms of Israel and Judah, not a Palestinian state.
17. Before the Kingdoms of Israel and Judah, there was the Kingdom of Israel, not a Palestinian state.
18. Before the kingdom of Israel, there was the theocracy of the twelve tribes of Israel, not a Palestinian state.
19. Before the theocracy of the twelve tribes of Israel, there was an agglomeration of independent Canaanite city-kingdoms, not a Palestinian state.

20. Actually, in this piece of land there has been everything, EXCEPT A PALESTINIAN STATE.


Msikilize huyu Bibi alikuwa Waziri Mkuu wa Israeli anasema kitu gani


View: https://www.youtube.com/watch?v=J2zvHcGNZXQ
 
Back
Top Bottom