Did you know this about Israel state?

Did you know this about Israel state?

Lakini tunapaswa kuangalia mambo haya kiroho zaidi kuliko kimwili.

Israel hapa duniani ni kama mshale wa saa ambao huonesha mahali tulipo na tunaelekea wapi.
Kwa wale tunaoamini MUNGU WA ISRAEL kuwa ndiye MKUU tunajua kuna kitu kitaachiliwa hapa duniani eidha chenye matokeo hasi au chanya kwa ajili ya Ulimwengu.

MUNGU IBARIKI ISRAEL.
Mungu huyo Hayupo.

Israel ni magaidi na wahalifu wa kivita kama ilivyo Al Shabaab, Islamic state, Al-Qeida na Boko Haram.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hayo mimi siyajui
Mlima Seiri ndio wa kwanza iliyotajwa katika kitabu cha Mwanzo kama makao ya Esau, kaka yake Yakobo na mwana wa Isaka (Mwanzo 36:8-9). Esau, ambaye pia aliitwa Edomu, aliishi katika eneo hili baada ya kuuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza kwa Yakobo na kunyimwa baraka za baba yake (Mwanzo 25:29-34, 27:30-40). Uamuzi huo ulianzisha mfululizo wa matukio ambayo yangefanyiza hatima ya Waedomu, wazao wa Esau, na uhusiano wao na Waisraeli, wazao wa Yakobo.

Nchi ya Seiri awali ilikaliwa na Wahori, watu walioishi katika mapango na hatimaye walishindwa na Waedomu (Mwanzo 14:6, Kumbukumbu la Torati 2:12). Eneo hili lilikuwa na sifa ya ardhi yake yenye miamba, ambayo ilitoa ulinzi wa asili kwa wakazi wake. Kwa sababu hiyo, Waedomu waliweza kudumisha uhuru wao na hata kusitawi, licha ya kuzungukwa na majirani wenye nguvu kama Israeli, Yuda, na Moabu
 
Edomu ni nchi gani sasa?


images

Edomu, nchi ya kale inayopakana na Israeli ya kale, katika eneo ambalo sasa ni kusini-magharibi mwa Yordani , kati ya Bahari ya Chumvi na Ghuba ya Akaba
 
Mlima Seiri ndio wa kwanza iliyotajwa katika kitabu cha Mwanzo kama makao ya Esau, kaka yake Yakobo na mwana wa Isaka (Mwanzo 36:8-9). Esau, ambaye pia aliitwa Edomu, aliishi katika eneo hili baada ya kuuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza kwa Yakobo na kunyimwa baraka za baba yake (Mwanzo 25:29-34, 27:30-40). Uamuzi huo ulianzisha mfululizo wa matukio ambayo yangefanyiza hatima ya Waedomu, wazao wa Esau, na uhusiano wao na Waisraeli, wazao wa Yakobo.

Nchi ya Seiri awali ilikaliwa na Wahori, watu walioishi katika mapango na hatimaye walishindwa na Waedomu (Mwanzo 14:6, Kumbukumbu la Torati 2:12). Eneo hili lilikuwa na sifa ya ardhi yake yenye miamba, ambayo ilitoa ulinzi wa asili kwa wakazi wake. Kwa sababu hiyo, Waedomu waliweza kudumisha uhuru wao na hata kusitawi, licha ya kuzungukwa na majirani wenye nguvu kama Israeli, Yuda, na Moabu
Asante kwa elimu hii
Sasa hilo eneo hao uliowataja asili yao walikuwa ni kina nani? Kama majirani zao walikuwa Wayahudi, Yuda na Moabu?
 
Lakini tunapaswa kuangalia mambo haya kiroho zaidi kuliko kimwili.

Israel hapa duniani ni kama mshale wa saa ambao huonesha mahali tulipo na tunaelekea wapi.
Kwa wale tunaoamini MUNGU WA ISRAEL kuwa ndiye MKUU tunajua kuna kitu kitaachiliwa hapa duniani eidha chenye matokeo hasi au chanya kwa ajili ya Ulimwengu.

MUNGU IBARIKI ISRAEL.
Mungu wa Israel ni yupi huyo?
 
1. Before Israel, there was a British mandate, not a Palestinian state.

2. Before the British Mandate, there was the Ottoman Empire, not a Palestinian state.

3. Before the Ottoman Empire, there was the Islamic state of the Mamluks of Egypt, not a Palestinian state.
4. Before the Islamic state of the Mamluks of Egypt, there was the Ayubid Arab-Kurdish Empire, not a Palestinian state.
5. Before the Ayubid Empire, there was the Frankish and Christian Kingdom of Jerusalem, not a Palestinian state.
6. Before the Kingdom of Jerusalem, there was the Umayyad and Fatimid empires, not a Palestinian state.
7. Before the Umayyad and Fatimid empires, there was the Byzantine empire, not a Palestinian state.

8. Before the Byzantine Empire, there were the Sassanids, not a Palestinian state.

9. Before the Sassanid Empire, there was the Byzantine Empire, not a Palestinian state.

10. Before the Byzantine Empire, there was the Roman Empire, not a Palestinian state.

11. Before the Roman Empire, there was the Hasmonean state, not a Palestinian state.

12. Before the Hasmonean state, there was the Seleucid, not a Palestinian state.
13. Before the Seleucid empire, there was the empire of Alexander the Great, not a Palestinian state.
14. Before the empire of Alexander the Great, there was the Persian empire, not a Palestinian state.
15. Before the Persian Empire, there was the Babylonian Empire, not a Palestinian state.
16. Before the Babylonian Empire, there were the Kingdoms of Israel and Judah, not a Palestinian state.
17. Before the Kingdoms of Israel and Judah, there was the Kingdom of Israel, not a Palestinian state.
18. Before the kingdom of Israel, there was the theocracy of the twelve tribes of Israel, not a Palestinian state.
19. Before the theocracy of the twelve tribes of Israel, there was an agglomeration of independent Canaanite city-kingdoms, not a Palestinian state.

20. Actually, in this piece of land there has been everything, EXCEPT A PALESTINIAN STATE.
Hii historia hawaitaki. Ukiwaambia kama taifa lilikuwepo rais wao wa kwanza ninani hawajibu.
 
Mwanzo 36
BHN


MWANZO 36
Wazawa wa Esau
(1Nya 1:34-37)
1Wafuatao ni wazawa wa Esau (yaani Edomu). 2Esau alioa wake Wakanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi, 3na Basemathi, binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi. 4Ada alimzalia Esau Elifazi, naye Basemathi akamzalia Reueli. 5Oholibama alimzalia Yeushi, Yalamu na Kora. Hao ndio watoto wa kiume wa Esau ambao wake zake walimzalia alipokaa katika nchi ya Kanaani.
6Kisha, Esau akawachukua wake zake, watoto wake wa kiume na wa kike, watu wote wa nyumbani mwake, ng'ombe wake, wanyama wake wengine wote na mali yake yote ambayo alikuwa ameipata katika nchi ya Kanaani, akahamia mahali pengine, mbali na nduguye Yakobo. 7Alifanya hivyo kwa sababu mali zao zilikuwa nyingi hata wasiweze kuishi pamoja. Nchi waliyokaa kama wageni haikuweza kuwatosha kwa sababu ya wingi wa mifugo yao. 8Kwa hiyo, Esau akaenda kukaa katika nchi ya milima ya Seiri. Jina lingine la Esau ni Edomu.
9Wafuatao ni wazawa wa Esau, baba ya Waedomu katika nchi ya milima ya Seiri. 10Watoto wa kiume wa Esau walikuwa Elifazi aliyezaliwa na Ada mkewe, na Reueli aliyezaliwa na Basemathi mke wake mwingine. 11Watoto wa kiume wa Elifazi walikuwa Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi. 12Elifazi alikuwa na suria jina lake Timna. Huyu alimzalia mwana, jina lake Amaleki. 13Basemathi, mkewe Esau, alimzaa Reueli. Watoto wa kiume wa Reueli walikuwa Nahathi, Zera, Shama na Miza. 14Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, alimzalia Esau mumewe watoto wa kiume watatu: Yeushi, Yalamu na Kora.
15Wafuatao ni wakuu wa makabila yaliyotokana na Esau. Elifazi, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Esau aliwazaa Temani, Omari, Sefo, Kenazi, 16Kora, Gatamu na Amaleki, kila mmoja wao akiwa mkuu wa kabila lake. Hao wote ni watoto wa kiume wa Elifazi katika nchi ya Edomu, waliotokana na Ada, mkewe Esau. 17Reueli, mwanawe Esau, aliwazaa Nahathi, Zera, Shama na Miza, kila mmoja wao akawa mkuu wa kabila lake. Hao wote ni watoto wa kiume wa Reueli katika nchi ya Edomu, waliotokana na Basemathi, mkewe Esau. 18Watoto wa kiume wa Oholibama, mkewe Esau, walikuwa Yeushi, Yalamu na Kora, kila mmoja wao akiwa mkuu wa kabila lake. Hao wote ni watoto wa kiume wa Oholibama, binti Ana, mkewe Esau. 19Basi, hao ndio wazawa wa Esau yaani Edomu, kila mmoja wao akiwa mkuu wa kabila lake.
 
Back
Top Bottom