Did he flee to Canada?

Hayo yote yàmefanyika chini ya ccm
 
Zitumike mbinu za kagame kumfollow,hawezi kuachwa hivihivi ajilie vya dhulma ,kodi za watanzania ,na ikibidi tuanze kupunguza kizazi chake ili apate machungu zaidi,halafu tunamalizia na yeye,itapendeza sana
Ndugu zake wanahusika vipi na maovu yake(kama yapo)?
Hizo mbinu za Kagame unadhani ukiziingiza kwa ajili ya MTU mmoja zitaisha baada ya nia hiyo ovu kitimia? Au ndiyo utakiwa umeasisi aina nyingine ya ukatili!!!

Hizi roho mnazitolea wapi? Na kwa maslahi ya nani?

Aliyekuja na mpango wa wasiojulikana sasa hawezi hata kiwadhibiti, na asipoangalia wanamhujumu hata yeye.

NCHI hii ni yetu sote. Usifurahie mwenzio kuishi uhamishoni.
 
Continue to show your stupidity. I'm sure, you've finished with your parents!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…