Kwa kifupi tu, nanukuu habari hii iliyoandikwa katika gazeti la The New York Times:
Dictators Link to Prize Puts Unesco in Odd Spot
By STEVEN ERLANGER
Published: June 6, 2010
PARIS A new international prize for scientific achievement lavishly financed by one of Africas most infamous dictators has placed Unesco and its new director general in a delicate bind.
The Unesco-Obiang prize, tentatively scheduled to be awarded by the end of the month, has been roundly criticized by scientists and human rights organizations as little more than a clumsy effort to burnish the reputation of Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, the president of Equatorial Guinea. Mr. Obiang has been accused by rights groups and anticorruption activists of embezzling hundreds of millions of dollars from his tiny oil-rich West African state, while most of its people scrape by in dire poverty...
Lakini hii sio mara ya kwanza kwa Unesco kupokea mapesa kutoka kwa mafisadi.
Mosi, nakumbuka Unesco (literary section) ilikuwa inatoa zawadi - kwa nchi- mshindi wa kisomo cha manufaa miaka ya 1970s - ya Mfalme wa Iran (Mohammad Rezā Shāh Pahlavi). karibu kila mwaka, Tanzania tulikuwa tunashinda hiyo zawadi.
Pili, zawadi ya Nobel Prize ya Alfred Nobel (mwanasayansi, mgunduzi, mjasiliamali,mwandishi wa vitabu na mpatanishi).
Huyu alipata hayo mapesa kutokana na utafiti wake wa matumizi ya baruti. Ingawa hakuwa wa kwanza kugundua baruti (wa-China ndio walikuwa wa kwanza lakini matumizi yake ya kawa katika sherehe za za anasa sio vitani).
Mafanikio ya utafiti wa Alfred Nobel katika mambo ya kivita yameua binadamu wengi sana na kuharibu mali. Hata hivyo, tunashangilia na kujiona endapo tutatajwa kuwa watuzwa zawadi ya Nobel Prize!
Sasa yameibuka ya Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo na zawadi yake hiyo!
Ukitaka kusoma zaidi, fungua (sehemu ya (b) inaonyesha stori ya Amerika kumlinda Teodoro Obiang Nguema Mbasogo (ambaye mtoto wake na Waziri wa Kilimo amejijengea jumba la kifalme huko sehemu za Malibu, California) kutokana n anchi hiyo kuwa na mafuta:
(a) http://www.nytimes.com/2010/06/07/world/07unesco.html?ref=africa
(b) http://www.nytimes.com/2009/11/17/us/17visa.html?_r=1&scp=3&sq=Teodoro%20Nguema%20Obiang%20mansion%20in%20malibu&st=cse