Dick Cheney : Obama is a very very weak President

Dick Cheney : Obama is a very very weak President

Rais ajae wa marekani ndo ataipeleka dunia kwenye vita ya 3 ya dunia.
Hawa wauaji dick cheney na mac cain watahakikisha hilo.
 
Kiranga nisaidie kuelewa huyu jamaa kaandika nini.

really these very terable,dicnition its very bad at the world,ths because he is the black people,american always wanaishi,with profit.
 
Last edited by a moderator:
Bado naitafakari hii lugha,kwann msitumie kiswahili tu kama hamuwezi ngeli.!

Ni heri aandike Hivyo unajua wamarekani wanafuatilia Simu ,blogs ,kila kitu so alivyoandika Hivyo poa tu
 
Rais ajae wa marekani ndo ataipeleka dunia kwenye vita ya 3 ya dunia.
Hawa wauaji dick cheney na mac cain watahakikisha hilo.
Obama inabidi aamke ataiangusha democratic party .huko Iraq ndio kumechafuka vibaya .putin huko ndio anabeba Ukraine
 
acha majungu changia maada.kama nimekosea andika inavyo takiwa naww uonekane?umbea c kwa madem tu hata ww,nimmoja wapo!

sasa wewe Kama,hujui kizungu siutumie Kiswahili?Umeandika upumbavu na kuharibu raha ya mjadala mpaka Mie nimeshikwa na kwikwi
 
Cheney anakula raha watoto wa wenzake wanatolewa kafara kila uchao!
 
acha majungu changia
maada.kama nimekosea andika inavyo takiwa naww uonekane?umbea c kwa
madem tu hata ww,nimmoja wapo!
We utakuwa ni mkimbizi wewe si bure manake unaonekana mbishi sana, lugha za watu zinakupiga chenga na kiswahili chenyewe bado unachapia pia
 
really these very terable,dicnition its very bad at the world,ths because he is the black people,american always wanaishi,with profit.

Sijakuelewa kabisa! its very bad at the world,ths because he is the black people! Du hiyo ni programming language nini?
 
Back
Top Bottom