mtuwatu Member Joined Oct 21, 2009 Posts 95 Reaction score 2 Mar 27, 2010 #1 Kuuliza sio ujinga wanakwetu, kutojua ndo ujinga!! Nisaidieni nijue maana /madhumuni/sababu na faida ya diaspora maanake nimengia kwenye blog ya michuzi naona picha na maelezo kibao ya diaspora.........mwenzenu sielewi nisaidieni wanakwetuu!
Kuuliza sio ujinga wanakwetu, kutojua ndo ujinga!! Nisaidieni nijue maana /madhumuni/sababu na faida ya diaspora maanake nimengia kwenye blog ya michuzi naona picha na maelezo kibao ya diaspora.........mwenzenu sielewi nisaidieni wanakwetuu!