Diana Spencer, MwanajamiiForums anaeutesa sana Moyo wangu

Bengalisis

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
1,847
2,768
Wapendwa nikiwa na furaha tele niliyoamka nayo leo kwa kile Liverpool inachokifanya kwa sasa katika soka. Lakini kwa upande wa mapenzi niseme tu ya kwamba naumizwa sana na penzi la huyu mwanadada Diana Spencer mwanajamii forum, naomba sana yoyote atakaye muona amwambie nina mpenda sana, ahsanteni wapendwa naomba mnisaidie
 
Kumpenda mtu mtandaoni tena bila ya kumuona ni sawa na kupunga upepo chini ya kivuli cha mchicha. Hao unaowajua tangu kuzaliwa kwao mpaka leo bado wanakujambisha sembuse hawa wa huku jf wa fake life!!! Pambana brother utampata
 
Ngoja nimgoogle kwanzaaa

1074763
 
Kumpenda mtu mtandaoni tena bila ya kumuona ni sawa na kupunga upepo chini ya kivuli cha mchicha. Hao unaowajua tangu kuzaliwa kwao mpaka leo bado wanakujambisha sembuse hawa wa huku jf wa fake life!!! Pambana brother utampata
Wewe bado ni mtoto
 
Mkuu itakuwa unasumbuliwa na presha ya pasaka!
Dunia ya leo unatuma maombi ya mapenzi kupitia kwa wengine!!?
Nenda pm na fuko la mafweza mtoto akafanye shopping ya vimilioni kadhaa kwa ajili ya Pasaka afu leta mrejesho hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom