BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Povu.comWe jamaa unakujaga na mambo kwa kukurupuka.. Kasema wapi? Lini? Audio iko wapi? Mtu timamu huwa anatulia analrta habari imekamilika izi habari za Diamond kila siku alafu hazina source uziache..
Muzee ya mapenzi,mutoto ya kibembe,leta vitu.. mwenye wivu ajitundike kumirumba.Nahisi itakua NI VALENTINE DAY.
Heh.!! Watu wengine!!We jamaa unakujaga na mambo kwa kukurupuka.. Kasema wapi? Lini? Audio iko wapi? Mtu timamu huwa anatulia analrta habari imekamilika izi habari za Diamond kila siku alafu hazina source uziache..
Team K bana..si mtulize mshonoo??We jamaa unakujaga na mambo kwa kukurupuka.. Kasema wapi? Lini? Audio iko wapi? Mtu timamu huwa anatulia analrta habari imekamilika izi habari za Diamond kila siku alafu hazina source uziache..
Y5jlggihjjhjibg6ikkkjmokmjhmnojoihlhtijikhnilkhbllkkklvjjhujhblhjnjghbvvkWe jamaa unakujaga na mambo kwa kukurupuka.. Kasema wapi? Lini? Audio iko wapi? Mtu timamu huwa anatulia analrta habari imekamilika izi habari za Diamond kila siku alafu hazina source uziache..
Chuki itakuuuaWe jamaa unakujaga na mambo kwa kukurupuka.. Kasema wapi? Lini? Audio iko wapi? Mtu timamu huwa anatulia analrta habari imekamilika izi habari za Diamond kila siku alafu hazina source uziache..
Acha tu mkuu ..Sijawahi kuona chuki za namna hii aise hahahaa ...yan kuna watu wakisikia jina diamond ama habar zake tu wanataka kutapikaPovu.com
[emoji23][emoji23]mshonoTeam K bana..si mtulize mshonoo??