Kayenga jr JF-Expert Member Joined Feb 16, 2016 Posts 443 Reaction score 349 Apr 5, 2016 #41 Huyo wa pembeni ndio zari au Wema enzi hizo
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Apr 5, 2016 #42 adden said: Alikuw hb kuliko sshv Click to expand... Hahah ahaha
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Apr 5, 2016 #43 Mh!!!....sidhani!!! Mbona hafananii???
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #44 Kayenga jr said: Huyo wa pembeni ndio zari au Wema enzi hizo Click to expand... Ndio
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #45 werrason said: Mh!!!....sidhani!!! Mbona hafananii??? Click to expand... Fikicha macho yako vizuri mkuu
werrason said: Mh!!!....sidhani!!! Mbona hafananii??? Click to expand... Fikicha macho yako vizuri mkuu
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,334 Reaction score 22,279 Apr 5, 2016 #46 Anaona hapo alipiga picha na Ray C (kushoto) na Lady JayDee (kulia), ni longtime kitambo sana hiyo mitaa ya Vingunguti kwenye show.
Anaona hapo alipiga picha na Ray C (kushoto) na Lady JayDee (kulia), ni longtime kitambo sana hiyo mitaa ya Vingunguti kwenye show.
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Apr 5, 2016 #47 decent girl said: Fikicha macho yako vizuri mkuu Click to expand... Haya mwalimu
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #48 werrason said: Haya mwalimu Click to expand...
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #49 PAGAN said: Anaona hapo alipiga picha na Ray C (kushoto) na Lady JayDee (kulia), ni longtime kitambo sana hiyo mitaa ya Vingunguti kwenye show. Click to expand... Mmmh
PAGAN said: Anaona hapo alipiga picha na Ray C (kushoto) na Lady JayDee (kulia), ni longtime kitambo sana hiyo mitaa ya Vingunguti kwenye show. Click to expand... Mmmh
Tuyuku JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,292 Reaction score 1,935 Apr 5, 2016 #50 Ndo maisha hayo. Kila mtu ana background yake.
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #51 Tuyuku said: Ndo maisha hayo. Kila mtu ana background yake. Click to expand... Kweli mkuu sema hao wanajulikana haraka kwasababu ya ustaa
Tuyuku said: Ndo maisha hayo. Kila mtu ana background yake. Click to expand... Kweli mkuu sema hao wanajulikana haraka kwasababu ya ustaa
Tuyuku JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,292 Reaction score 1,935 Apr 5, 2016 #52 decent girl said: Kweli mkuu sema hao wanajulikana haraka kwasababu ya ustaa Click to expand... Kweli kabisa.
decent girl said: Kweli mkuu sema hao wanajulikana haraka kwasababu ya ustaa Click to expand... Kweli kabisa.
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,527 Reaction score 10,538 Apr 5, 2016 #53 Nyani Ngabu said: Diamond kweli huyo? Click to expand... Wanamsingizia1 kwa hali hi kama ni kweli mtu unaweza kujikuta unaingia kwenye mikataba ya kishetani!
Nyani Ngabu said: Diamond kweli huyo? Click to expand... Wanamsingizia1 kwa hali hi kama ni kweli mtu unaweza kujikuta unaingia kwenye mikataba ya kishetani!
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,997 Apr 5, 2016 #54 decent girl said: Click to expand... Ya kale Ni dhahabu
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #55 mama kubwa said: Wanamsingizia1 kwa hali hi kama ni kweli mtu unaweza kujikuta unaingia kwenye mikataba ya kishetani! Click to expand... Kivp mkuu
mama kubwa said: Wanamsingizia1 kwa hali hi kama ni kweli mtu unaweza kujikuta unaingia kwenye mikataba ya kishetani! Click to expand... Kivp mkuu
Chiwaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 5,725 Reaction score 3,795 Apr 5, 2016 #56 decent girl said: Click to expand... wa sasa hivi ni huyu
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,817 Apr 5, 2016 #57 Huyo mnaemwita ZARI yupo hapo kumtumia DOMO kama mradi tu!!! Jimama linawatoto lukuki leo uniambie ana mapenzi na huyo bwana!!! Itafika wakati atamkimbia na kurudi kwa watoto wake huko uganda.
Huyo mnaemwita ZARI yupo hapo kumtumia DOMO kama mradi tu!!! Jimama linawatoto lukuki leo uniambie ana mapenzi na huyo bwana!!! Itafika wakati atamkimbia na kurudi kwa watoto wake huko uganda.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Apr 5, 2016 #58 kibanga 3 said: Na huyo demu wake alimtosaa? Click to expand... Ni yule aliyemwimbia "Nitarejea".
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Apr 5, 2016 #59 Duuuh kweli pesa ina nafasi yake katika muonekano
A anna mbuja Senior Member Joined Jan 28, 2016 Posts 131 Reaction score 69 Apr 5, 2016 #60 Duhhh watu tunatoka mbali jamani!!