Mkuu sie tulioko uswazi kwa hivo videmu ni pouwa saana, na ni wachache wanaoweza kuvisogelea. Ujue siku hiyo hata mwenyewe Diamond alijisifu saana kupiga navyo picha na ndo maana imetunzwa hadi leo.
Dogo amepiga hatua saana, mpaka analala na watoto classic kama Wema na Zari. Najua katika hali kama hiyo sio Zari au Wema wangethubutu kulala kitandanai na Diamond. Ingekuwa 'Zali la Mentali'