Back Vocal bila CD labda Coke Studio labda labda ila vyombo yaan keyboard rhythm guitar drums saxophones live ushawahi muona wapi hata siku moja? Labda akiwa anafanya PA kwenye tangazo la Airtel sio live ni tangazo alionyesha drums guitar saxophones keyboard then akaendelea na tangazo,Hivi Mond anaweza kuimba live band?
Ndio maana nimeuliza Mond anaweza kuimba live band?? Mbona ni swali lilijitosheleza..Back Vocal bila CD labda Coke Studio labda labda ila vyombo yaan keyboard rhythm guitar drums saxophones live ushawahi muona wapi hata siku moja? Labda akiwa anafanya PA kwenye tangazo la Airtel sio live ni tangazo alionyesha drums guitar saxophones keyboard then akaendelea na tangazo,
Hawezi ndio maana humuoni akifanya zaidi ya back vocal n playback CD hawezi kupiga live sasa mwenzie anaweza kupiga live hio ni tofauti ushaambiwa hapo kuna muimbaji na mshereheshaji hao ni watu wawili tofauti mmoja anaimba mwingine anashereheshaNdio maana nimeuliza Mond anaweza kuimba live band?? Mbona ni swali lilijitosheleza..
Kwa sisi diaspora ukweli ni kwamba nje ya jamii za Watanzania Kiba hafahamiki kabisa, ukitoa Diamond yaani ni afadhali Rayvanny au Harmonize unaweza kukuta nje ya jamii ya watu kutoka East Africa wanawafahu/wanafahamu nyimbo zao.Hii sio debate ya leo wala jana ni mjadala
unaoendelea kila kizazi.
Kila upande una hoja, kila shabiki ana msimamo.
Lakini leo, tuweke mapenzi pembeni… tuangalie ukweli kwa jicho la uchambuzi.
Kwanza kabisa, tukubali jambo moja muhimu:
Hawa si wasanii wa kulinganishwa kirahisi ni nguzo mbili tofauti za Bongo Flava.
Diamond Platnumz ni nguvu ya soko.
Ni msanii aliyebadilisha muziki kuwa biashara kamili. Amevuka mipaka ya Tanzania, akaifanya Bongo Flava kuwa bidhaa ya kimataifa. Consistency yake ni ya kiwango cha juu hits zinakuja kila mwaka, brand yake inakua kila siku. Huyu anaelewa si tu muziki, bali “game” nzima ya industry.
Ali Kiba ni ubora wa muziki wenyewe.
Sauti yake ni ya kipekee, delivery yake ni tulivu lakini yenye uzito. Kiba haimbi kwa kelele anaimba kwa hisia, umakini na uhakika wa kipaji chake. Ni msanii anayesimama kwenye msingi wa “quality over noise”.
Tukija kwenye vipimo halisi:
✔️ Umaarufu & ushawishi Diamond anaongoza
✔️ Consistency ya hits
Diamond anaongoza
✔️ Biashara & brand Diamond anaongoza
✔️ Vocals & ubora wa sauti
Kiba anaongoza
✔️ Uwezo wa kuchana (lyrics/diss) Kiba anaongoza
Hitimisho la kitaalamu:
Kwa “complete package”, Diamond anachukua ushindi wa jumla.
Lakini hapa ndipo wengi hukosea kuelewa…
Diamond anatawala game
Kiba anaiheshimisha game
Mmoja ni nguvu ya soko, mwingine ni roho ya muziki.
Mmoja anajenga ufalme, mwingine anahifadhi heshima ya sanaa.
Na ukweli ni huu:
Bongo Flava bila Diamond inapoteza nguvu ya kimataifa
Bongo Flava bila Kiba inapoteza ladha ya ubora
Mwisho wa siku, swali si nani bora tu…
Swali ni wewe unapima nini?
Unathamini mafanikio makubwa na dominance?
Au unathamini ubora wa muziki na utulivu wa kisanii?
Sasa ni zamu yako:
Team Diamond au Team Kiba?
Tukihitaji maoni ya Dayaspora tutawaita.Kwa sisi diaspora ukweli ni kwamba nje ya jamii za Watanzania Kiba hafahamiki kabisa, ukitoa Diamond yaani ni afadhali Rayvanny au Harmonize unaweza kukuta nje ya jamii ya watu kutoka East Africa wanawafahu/wanafahamu nyimbo zao.
Diamond na Kiba wanashindanishwa TZ na Kenya tu, nje ya hapo tofauti yao ni kamba mbingu na ardhi.
Hii ni forum huru, diaspora naye anatoa maoni kwenye post yoyote.Tukihitaji maoni ya Dayaspora tutawaita.
Mkuu si huku huku JF au 🤔😁Mwanzisha mada ni tahira mpumbavu nenda JF kwa wapumbavu wenzio
Hebu toa hizo initials JF👆🏾 kwenye hii post.Mwanzisha mada ni tahira mpumbavu nenda JF kwa wapumbavu wenzio