aliunga mkono na kuimba kibwagizo cha PIGA KURA YA NDIYO KATIBA MPYA si mzalendo.... na kura yangu kwa davido.
katiba mbovu itaififisha nchi kwa miaka 50 ijayo na mond kaishupalia
kwa hiyo wewe ukimpigia kura davido ndio utakua umefanya uzalendo ama bora usipige kabisa. Alaf diamond kakufanya nini mbona unalia sana toka juzi haya mambo yote hukuyasema siku zote hizo leo ndio unalia?