Diamond unakosea sehemu ndogo sana

Diamond unakosea sehemu ndogo sana

Angesoma nyakati kwanza...kabla kutaja taja majina hovyo..
Remmy Ongala alijutia saana kutoa ule wimbo aliokuwa akimsifia Lystonga Mrema
 
Konde Gang UNO - 1M Views within 24 Hrs.
Huu wimbo ni 24+ ndio ukagonga 1m,maana mara ya kwanza wakati Mimi naucheki Jana usiku ulikuwa ni tayari 1day na ulikuwa una 900k+ kwaio sio within 24
Ni baada ya 24hrs.
 
Hata mimi nmeuchukia huu wimbo niliposkia siasa
 
Baba lao nikajua tangazo la coca cola wana soda zao zinaitwa baba lao.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Huu wimbo ni 24+ ndio ukagonga 1m,maana mara ya kwanza wakati Mimi naucheki Jana usiku ulikuwa ni tayari 1day na ulikuwa una 900k+ kwaio sio within 24
Ni baada ya 24hrs.
Yote sawa ni kama Sumni na Sent Hamsini au Kilo1 na laki 1 au jiwe1 au Box1.
 
hizi ni zile nyimbo za comedy,ambazo huwaga zina hit vibaya mno,nikuulize swali ule wimbo wa plakata rhumba unajua kilichoimbwa mule ndani? nadhan hata utakua ni shahid jins ulivyosumbua ule wimbo.
Kwenye huo wimbo wa mond hakuna comedy zaidi ya kuwatukana tu wenzie pili huo wimbo wa kabo snoop ilikuwa no idea yake hakukopi na kupaste tatu huu wimbo unaweza kuhit sio kwasababu mkali nope kwasababu tu jamaa kawateka watu akili zao na wapo tayari kufanya chochote for him
 
Nimeisikiliza hit mpya ya Diamond! Ni bonge la ngoma kwa club. Alichokosea ni kuwataja wanasiasa ambao leo au kesho wanaweza wakapotea kwenye ramani na tukawasahau kabisa

Ingekuwa vizurii alipowataja wanasiasa,angewataja wasanii wakubwa au wale watu ambao sio wa politics walifanya makubwaa! Mfano angesema hata 2Pac baba laoo, Michel Jackson baba laoo na sio Makonda baba lao sidhani kama Nigeria wanamjua Makonda ni nani au Mwakiyembe ni nani hawa wanaweza tenguliwa kesho tukawasahau

All in all hii ngoma inazima vijingoma vyote vilivyo toka wikii hii/mwezi huu




Diamond baba laooo na haka katoto kaliko wekwa huku kamejitahidi kwenda na kasi
Wimbo in club banger ofcoz
 
Back
Top Bottom