Diamond trust bank

Diamond trust bank

Flores

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Hivi jaman hawa DTB washaita watu kwenye interview maana kitambo toka watangaze nafasi za kazi karibu mwez na nusu toka deadline km kuna watu walishaitwa nijuzeni plz.
 
Mpelekee rushwa mhindi utapata kazi
 
jamani nlikua nataka kujua tu may b kuna watu wameitwa mbna mnakua na majibu mabaya km haujui si bora upite tuu
 
Back
Top Bottom