JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,471
- 18,253
Sasa unataka nini,its just business,Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii
harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo
rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je yeye watamtoza bei gani ameambiwa kuvunja mkataba milion 400
hans stone ameshindwa kusaini mkataba na wasafi sababu mkataba ulikuwa wa miaka 20
kwani si ameuza nyumba amelipa na anaendelea kulipa? Sasa kakosea kusema hayo? ilitakiwa iwe siri? Basi aongeze kipengele kwenye mkataba kuwa yaliyo ndani yasisemwe hadharani.Kalipishwa hiyo hela ndogo kutokana na kuvunja mkataba yeye mwenyewe na unafikiri hiyo hela inatosha kulinganisha na uwekezaji ulio fanyika kwake?
Usibishane naye huyo akili Hana hiyo ngoma ipo kwenye account ya youtube ya diamond so ni ya wote wawili.Mwanaume mzima anawaza kwa kwakutumia makalio bibie mpotee asije akakuambukiza ugonjwa wa akilikwendaa,sio wimbo wake...lakini amekua creative about it,kaangalie tena wimbo original na aliotoa akimshirikisha Diamond,views zake,koma kuniita mjinga mpuuzi wewe!
Atleast hiyo ya milioni 500 mhusika mwenyewe amenukuliwa akisema kwenye vyombo vya habari kuwa mkataba wake umemtaka hivyo. Hivyo kama anasema kweli au la hatujui. Ila reference ipo.Kwa nini unaamini kuwa Hamornise kalipishwa milioni 500, uliona? Kwanini usiamini mkataba wa mika 20?!
Nini kinamfanya apige kelele kwenye media alipe hiyo hela mbona diamond alivunja mkataba wa aliyekuwa manager wake papa misifa na kutakiwa kulipa 100 m mbona akupiga kelele na kulipa kimyakimya na sisi tumejua kupitia papa misifa mwenyewe wakati anahojiwa na clouds.kwani si ameuza nyumba amelipa na anaendelea kulipa? Sasa kakosea kusema hayo? ilitakiwa iwe siri? Basi aongeze kipengele kwenye mkataba kuwa yaliyo ndani yasisemwe hadharani.
aWasafi wananyonya hadi mk***
Umeuliza maswali kuntu kwa mtu mjingaAtleast hiyo ya milioni 500 mhusika mwenyewe amenukuliwa akisema kwenye vyombo vya habari kuwa mkataba wake umemtaka hivyo. Hivyo kama anasema kweli au la hatujui. Ila reference ipo.
Ila hiyo ya miaka 20 umeiona wapi? Imesemwa na nani? Umeona nyaraka kuthibitisha hilo?
Sijawahi mwita ruge mnyonyajiKwani nyie mliwahi kujua Ruge na Clouds walikuwa wanatumia sh ngap?? Mbona mliwaita wanyonyaji???
Okay sawasawa contractist
kula zako bumunda mama[emoji897]
Kwani yope Ni wimbo wake ??? Au hujui hata huko YouTube huu wimbo haupo kwenye account yake . Hii nchi imejaa wajinga Sana Kama wewe
Upo kwenye account ya nan?
Kilaza wew
πππaccount ya baba ako
Mkuu huwezi kusema unamsaidia mtu kwa kumbana na mikataba ya kinyonyaji. Kumbuka huyo amekuja na talent yake ndo maana ukaingia naye mkatabaHii ela ndogo sana.Tena sana.Sjui D aliwaza nini kumtoza ela ndogo ivo.Kwa juhudi alizofanya kumkuza mpaka Harmonize akawa brand nyie sikieni tuu