Jina halisi anaitwa Chris Alvin Sunday ni mnaijeria ana miaka 24, alikua namba 3 katika list ya maproducer wazuri watano Nigeria mwaka 2016 baadhi ya nyimbo alizoproduce ni pana by tekno, Diana by tekno,marry me by mickey ft jah bless, I hear ya by mosky ft tekno n.k.WEKA PICHA YA KRIZBEAT TUMUONE NA HISTORIA YAKE HATA NA HITS ALIZOWAHI KUTENGENEZA
Alikuwa chizi mnamo 1922 akapewa dawa na mganga akapona akaitwa jina la Derick omonula ikwechi kutokana na kuugua uchizi akajiita " crazy boy " mwaka 2014 akapata mafanikio makubwa baada ya kutengeneza biti Kali mwaka 2016 akapata umaarufu zaidi na akabadili jina la kampuni akajiita " krizbeat " [emoji4] [emoji377]WEKA PICHA YA KRIZBEAT TUMUONE NA HISTORIA YAKE HATA NA HITS ALIZOWAHI KUTENGENEZA
Tafauta transform you ya Chriss BrownWEKA PICHA YA KRIZBEAT TUMUONE NA HISTORIA YAKE HATA NA HITS ALIZOWAHI KUTENGENEZA
Haha! Kuna krizbeat na swissbeat hao ni tofauti.Tafauta transform you ya Chriss Brown
uongo sio huyoTafauta transform you ya Chriss Brown
Uongo kivipi bro?uongo sio huyo
KRIZBEATS SIO SWIZZBEATS...NI WATU WAWILI TOFAUTIUongo kivipi bro?
Yawezekana basi nimechanganya kaka!KRIZBEATS SIO SWIZZBEATS...NI WATU WAWILI TOFAUTI
YEAH MKUU....POAYawezekana basi nimechanganya kaka!
Hits zake kuna panaWEKA PICHA YA KRIZBEAT TUMUONE NA HISTORIA YAKE HATA NA HITS ALIZOWAHI KUTENGENEZA
ya tekno..sawasawa mkuuHits zake kuna pana