vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,232
Gari ipo na yy ni house wife kuna haja gani ya yeye kuwa na gari, weekends si tunatoka wote na clinic nampeleka mwenyewe.Kama una uwezo wa kumnunulia si umnunulie tu mkuu, fanya kufumba macho bwana
Wajawazito gani ulishuhudia wanapewa magauni na kanga? Na hizo zawadi siku ya kuzaliwa anapewa ili iweje.Ni birthday mkuu sio kwa sababu ya uja uzito. Hata hivyo zamani wajawazito wakijifungua wakizawadiwa kanga mpya au vitenge basi pengine na gauni.
We jamaa !Mnunulie yale magari ya watoto kwanza akili ianze kuzoea magari.
Wanawake wa sasa mnawaendekeza wenyewe, umewahi kujiuliza vizazi vilivyopita vilikuwa vinazawadiana nini mtu akiwa mjamzito?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Kuna ile mitoy mikubwa akikaa na mimba yake anakuwa kama kinyago cha Burigi.We jamaa !
Mi na vituko ila vyako vimezid mzee [emoji28]
Na imagine akiwa anaendesha hiyo toy
Hahaha[emoji28] [emoji28] [emoji28] Kuna ile mitoy mikubwa akikaa na mimba yake anakuwa kama kinyago cha Burigi.
Mkuu mm sitaki kuwa kama diamond isome vizuri thread.Kwa hiyo na wewe unataka kuwa kama diamond vijana mnapenda maisha ya kuigiza birthday sio jambo lenye maana yoyote ile tafuta pesa
Gari moja inatosha mkuu.Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?
Habari zenu wadau. Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki. Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda...www.jamiiforums.com
Kama ni huyu anaye squart, tafuta gari mkuu.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!!!!!!!Habari wana MMU. Kwa kweli diamond sifa anazofanya za kuwapa magari girlfriends wake mbele ya camera anatupa mtihani mkubwa sisi wanaume. Ukweli my wife ni pregnant na ubaya zaidi birthday yake ni mwezi huu ambao amezaliwa Tanasha, sasa mtihani mkubwa mke wangu tangia aone ile clip ya Mond akiwapa Tanasha na mama ake yale magari basi mda wote anaangalia hiyo clip yaani hadi kero tena anataka tuangalie wote. Duuuh yaani sijui ndo ni hii mimba tu inampeleka huko au anafeeling ya kununuliwa gari wakati mm nimejiandaa nimnunulie iPhone tu. Wanawake mliowahi kubeba mimba inatokea huwa kuna movie au labda nyimbo mjamzito anakuwa anapenda sana kiasi cha kuangalia mara kumi kwa siku, maana hii inayotokea hapa kwangu sielewi.
Mkuu mm siigi mbona nimejiandaa na unawezo wangu kasimu tu ila diamond ndo anawafany wadada huku nao wawaze mandinga.Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba dogo! Diamond ni level zingine. Kiwanda chake kinauza bidhaa (nyimbo) Afrika na Dunia nzima. Je wewe una hata genge la kuuza bidhaa kwa wana mtaa wako?