Bill gate wa kununua migari ya gharama kiasi hicho?
Matajiri wenye asili ya kizungu ukiacha waarabu hawana ulimbukeni wa kununua magari kwa bei za misifa kiasi hicho.Google uone bill gate anatumia gari gani.Ukichaa wa kununua migari ya bei kubwa wanao wakina Mayweather,50 cent,Birdman n.k wote wenye asili ya black ndo hufanya hivyo kwa sababu wamepata utajiri kwa kutunukiwa na Mungu vipaji.Ila utajiri wa wazungu wengi unatokana na matumizi ya akili na uvumbuzi
hata DIAMOND amefika hapo sio kwa kutunikiwa ni AKILI JUHUDI na MAARIFA. hawawezi kufanan kila kitu lkn ameonyesha nia ya kuweka record katika maisha yake.Bill gate wa kununua migari ya gharama kiasi hicho?
Matajiri wenye asili ya kizungu ukiacha waarabu hawana ulimbukeni wa kununua magari kwa bei za misifa kiasi hicho.Google uone bill gate anatumia gari gani.Ukichaa wa kununua migari ya bei kubwa wanao wakina Mayweather,50 cent,Birdman n.k wote wenye asili ya black ndo hufanya hivyo kwa sababu wamepata utajiri kwa kutunukiwa na Mungu vipaji.Ila utajiri wa wazungu wengi unatokana na matumizi ya akili na uvumbuzi
Yaani kila mtu aanze kumbe?Our education system needs overhaul
Hata vaa yao ya kawaida tu, nakumbuka mwaka jana watu walikua wana hoji kwanini mark zackberg anavaa tshirt ya aina moja kila sikuBill gate wa kununua migari ya gharama kiasi hicho?
Matajiri wenye asili ya kizungu ukiacha waarabu hawana ulimbukeni wa kununua magari kwa bei za misifa kiasi hicho.Google uone bill gate anatumia gari gani.Ukichaa wa kununua migari ya bei kubwa wanao wakina Mayweather,50 cent,Birdman n.k wote wenye asili ya black ndo hufanya hivyo kwa sababu wamepata utajiri kwa kutunukiwa na Mungu vipaji.Ila utajiri wa wazungu wengi unatokana na matumizi ya akili na uvumbuzi
Upo sahihi Ila wanafanya hvyo kulingana na nafas walizo nazo , yaan kujiongezea thaman , sababu maisha ya Sanaa huwa ni mafupi ....!!Bill gate wa kununua migari ya gharama kiasi hicho?
Matajiri wenye asili ya kizungu ukiacha waarabu hawana ulimbukeni wa kununua magari kwa bei za misifa kiasi hicho.Google uone bill gate anatumia gari gani.Ukichaa wa kununua migari ya bei kubwa wanao wakina Mayweather,50 cent,Birdman n.k wote wenye asili ya black ndo hufanya hivyo kwa sababu wamepata utajiri kwa kutunukiwa na Mungu vipaji.Ila utajiri wa wazungu wengi unatokana na matumizi ya akili na uvumbuzi
Hebu na wewe jiongeze ubongo kidogo kah! MONDI ni MSANII mwanamuziki lazima awe smart sasa wewe kwa uzombi wako ulitaka avae anavovaa billGATE ivi wewe ni mzima kweli?Hata vaa yao ya kawaida tu, nakumbuka mwaka jana watu walikua wana hoji kwanini mark zackberg anavaa tshirt ya aina moja kila siku
Watu walitegemea kwasababu jamaa ni bilionea basi atavaa mi gold suti ya kiwango cha huu cha mwisho lakini jamaa laiwakumbusha kua lengo sio kuonekana tajiri lengo ni kua tajiri
Kwaiyoo gari ni kipimo cha nini mkuu?Mpaka leo bado tunaaminishana kuwa gari ndo kipimo cha utajiri
Utajiri wa talent na utajiri wa investment ni tofauti kabisa utajiri mmoja wapo unaambatana na ukichaa kwa sababu ubongo haukitegemea kuwa na hela.We ulimuona wapi Bill gate avae ma cheni makubwa kama mbwa,aweke ma meno kama ngili eti platinumHata vaa yao ya kawaida tu, nakumbuka mwaka jana watu walikua wana hoji kwanini mark zackberg anavaa tshirt ya aina moja kila siku
Watu walitegemea kwasababu jamaa ni bilionea basi atavaa mi gold suti ya kiwango cha huu cha mwisho lakini jamaa laiwakumbusha kua lengo sio kuonekana tajiri lengo ni kua tajiri
Sisi kama wanafamilia tutalifikiria ombi lakonamuomba Bill Gates msamaha kwa niaba ya mleta mada.