Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Badilisha simu shad,hiyo P5 ya TECNO hauwezi sikia ladha ya hili HIROSHIMA

MKuu mimi ni msikilizaji wa mziki mzuri, playlist yangu imejaa nyimbo za Diamond tangu "Nenda kamwambie" hadi Nana" though sio fan wa Mondy lakini haiondoi uhalisia kimziki jamaa yupo juu, Tukiweka pembeni uteam, kama unafatilia vizur mziki wa sasa umechange sana, hasa ktk midundo, wasanii wamechange sababu nyimbo za sasa hata kama ni ujumbe lakin hakuna namna ni lazima uiweke tu kwenye aina fulan ya kia afro pop, Mfano Aiyola, Nana, hata msanii wangu Alikiba kama umemfatilia utaona kuna mabadiliko fulan makubwa kayafanya tangu mwana had sasa nagharamia, kutokana na kasi ya mziki wa kisasa africa nzima inamlazimu msanii atoe wimbo uliyochangamka fulan au beat lenye amsha na viuafro pop kwa mbali, ndiomana christian bella anakomalia sebene fulan hivi za amsha amsha.

Hebu kumbuka ile Nana ya Diamond ule wimbo ndiyo hadhi sasa ya Diamond, lakini sio hii, huu ni wimbo wa kujazia Album tu lakin sio hit song, sema sababu game ndio mmelishika nyie, sitoshangaa nitakaposikia top 10 mmeyhika no1 na tuzo kibao umebeba hahaha very interesting.

Lastly usifananishe kabisa hii kaswida ya mondy na #Nagharamia , utakuwa unajitafutia aibu Bure
 
Kuwa na huruma Chibu
 
Attachments

  • 1449871272691.jpg
    1449871272691.jpg
    53.4 KB · Views: 261

Wewe tangu lini ukamtakia mema Diamond?!,huwezi sikia utamu au uzuri wa nyimbo hii kwa kuifananisha na nyimbo ya DAKU Kipindi cha MWEZI WA RAMADHANI wa KIBAKULI

Tunaojua muziki tunaelewa na wenye chuki pia tunawaelewa,
Ahsante mashabiki pia WANAFIKI,Maana bila nyinyi hasira zisingekuwepo kwenye kichwa kile cha Tandale
 
:thumbdown::thumbdown::thumbdown:
 
Wewe tangu lini ukamtakia mema Diamond?!,huwezi sikia utamu au uzuri wa nyimbo hii kwa kuifananisha na nyimbo ya DAKU Kipindi cha MWEZI WA RAMADHANI wa KIBAKULI

Tunaojua muziki tunaelewa na wenye chuki pia tunawaelewa,
Ahsante mashabiki pia WANAFIKI,Maana bila nyinyi hasira zisingekuwepo kwenye kichwa kile cha Tandale

Kwahiyo mkuu hii kaswida na #nagharamia ya Kiba ipi kali?

Tunawacheka kwa dharau Hehehehehehehe
 
Hehehehe wamefulia wazee, wamebaki kupumulia Video tu

Tunawacheka kwa Dharau hehehehehe
 
Sio wakati sahihi wa kutoa wimbo mpya hasa kipindi hiki cha utumbuzi wa majipu,watu bizeee na Braza Magu
Labda kwa wale jamaa wa Nagharamia lakini kwa Chibu, akidondosha bomu kila kitu kinasimama!!! Views zaidi ya 150,000 chini ya saa 24 na comments zaidi ya 1000 inaonesha wazi kwamba majipu hayamzuii huyu jamaa!!!
attachment.php
 
Attachments

  • Mond.jpg
    Mond.jpg
    41.3 KB · Views: 717
Nauliza tu mandhari ya video tokea msoga kwa mkulu?maana lile jumba nyuma ni hatar
 
Tanta lala laaa
La la la la laaaa

Mmmmmh....

Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandalee
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza madalee
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
hanitaki hata Talee

Oooh wale shabiki zangu
walonisifu kwa maneno matamuu
Leo maadui zangu
ni mitusi tu kwa instagramuu

Kimwanaa si dada anguu
eti nae hanifahamu
Hata harmonize nikimpigia ananifokea kama Salaam

Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa..

Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa
Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa
Kama naiona michambo ya madem wa zamani nilowapitiaga

Ooh nayosema yana maanaa
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabanaa
ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sanaa
mumeo nisije kuwa kichekesho

Maana rafiki wa jana
aaah
ndioo adui mkubwa wa keshoo

La la la la la laaaaa
au je utanipendagaa?
La la la la laaa
Au nawe utanimwagaa?
La la la la laaaa
Ati utanipendagaa ooh

Ooooh

Ooooooooh..
Bado naiwaza sana
Zile tunzo mashauzi airport
Je itapofika tamaa
Utadiriki hata japo kunipost

Pindi show zimekwamaa
Na nikipata sijahis ni mikosi
Oooh jahazi limezama
Mora ninusulu baba
Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa Dangote
Anakwenda na mama angu
Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu,
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke

Eeeey
na magazeti ya nyumbani
Kwa kukuza habari si unajuagaa
Utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwaga
yoyoyooo
Navyo nilivyo mnyonge
Tabia ya kuwajibu sinagaa

Kama naiona michambo ya madem wangu wa zamani yaan
He he heeeeee

La la la la laaaaaa (eeeh)
(Ola lala la laaaalaa)
La la la la laaa
(Ooh ola la la laaaa)
La la la la la alaaaa
Eeeh
Ola la la lilaa ooh
I say..

Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa dangote
Ana kwenda na mama angu
Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena
Mambo yanyooke(he he heee)

Eiiii

Ola lala lilaa

Oooh bby

(Tudy Thomaas)

Oooooh
Nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho

Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential

Ukisali omba sana
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Ndio adui mkubwa wa kesho

WASAFIIII...
 
MKuu mimi ni msikilizaji wa mziki mzuri, playlist yangu imejaa nyimbo za Diamond tangu "Nenda kamwambie" hadi Nana" though sio fan wa Mondy lakini haiondoi uhalisia kimziki jamaa yupo juu, Tukiweka pembeni uteam, kama unafatilia vizur mziki wa sasa umechange sana, hasa ktk midundo, wasanii wamechange sababu nyimbo za sasa hata kama ni ujumbe lakin hakuna namna ni lazima uiweke tu kwenye aina fulan ya kia afro pop, Mfano Aiyola, Nana, hata msanii wangu Alikiba kama umemfatilia utaona kuna mabadiliko fulan makubwa kayafanya tangu mwana had sasa nagharamia, kutokana na kasi ya mziki wa kisasa africa nzima inamlazimu msanii atoe wimbo uliyochangamka fulan au beat lenye amsha na viuafro pop kwa mbali, ndiomana christian bella anakomalia sebene fulan hivi za amsha amsha.

Hebu kumbuka ile Nana ya Diamond ule wimbo ndiyo hadhi sasa ya Diamond, lakini sio hii, huu ni wimbo wa kujazia Album tu lakin sio hit song, sema sababu game ndio mmelishika nyie, sitoshangaa nitakaposikia top 10 mmeyhika no1 na tuzo kibao umebeba hahaha very interesting.

Lastly usifananishe kabisa hii kaswida ya mondy na #Nagharamia , utakuwa unajitafutia aibu Bure
Duh! Pamoja na kwamba umeandika mambo mengi bado I doubt ikiwa kweli unaufahamu muziki!!! Yaani upande mmoja ni kama unakiri kwamba ni wimbo wa ujumbe halafu wakati huo huo ulitarajia uwe ni disco version!!!! Pata angalau layman definition ya what's music:
an art of sound in time that expresses ideas and emotions in significant forms through the elements of rhythm, melody, harmony, and color.
Sasa unataka upande mmoja unatengeneza emotion na hapo hapo unataka watu waruke ruke!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom