Diamond Platnumz mtaalam wa vocal

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,700
Reaction score
35,783

Diamond Platnumz A.K.A simba, anawasalimia...na kuwatakieni alhamisi njema
 
Jamaa anaimba matusi..wanamchekea
 
Ila jamaa yupo vizuri kimziki, nadhani na kipesa pia.

Hii mielimu sometimes miyeyusho, cheki eti nae Liquid ndio anatoka hivi hivi yaani!
 
Ila jamaa yupo vizuri kimziki, nadhani na kipesa pia.

Hii mielimu sometimes miyeyusho, cheki eti nae Liquid ndio anatoka hivi hivi yaani!
Jamaa kanifikrisha sana....kuna wadau wanamchukia hatar lakn mdau yeye anasepa tuu...hakuna kitu kibaya kama kupambana na kipaji cha mtu utaishia kuumia tu moyoni na kuwa na chuki....R.I.P Kbonde
 
Yaani jamaa analamba kote kote,coca,pepsi,voda etc!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…